BlackPanther
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 9,185
- 8,715
Piteni kimya kimya wazee, ila sio kumkejeli mleta mada...sio poa kabisa....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
2700cc kumbe ni sawa na suzuki grand au sijaelewa kitu hapo? gari out appearence iko goodLabda nikukumbushe kwamba hiyo sio Harrier wala Subaru!! Una lingine?
Yah! Kwa mujibu wa mdau2700cc kumbe ni sawa na suzuki grand au sijaelewa kitu hapo? gari out appearence iko good
Well notedToyota Land Cruiser Prado ambayo kwa kiasi kikubwa ni imetumika kwa misele ya Dar es salaam tu ingawaje mara chache sana ilikuwa inapiga trip za mkoa. Gari ipo safi kabisa, ni wewe tu kuchukua funguo unasepa nayo.
FACT SHEET:
Make: Toyota
Model: Land Cruiser Prado
Manufactured Year: 2002
Mileage: 151,046 km
Fuel: Petrol
Engine Vol: 2700 cc
Sehemu ilipo: Mtoni Kijichi
Mawasiliano: 0676 30 55 18
BEI: TZS 28 Million! Na maongezi yapo, sana tu>>> HAKUNA DALALI
Anayehitaji huo usafiri, karibu tufanye biashara!
View attachment 924420
View attachment 924425
View attachment 924421
View attachment 924422
View attachment 924423
View attachment 924424