It will take time kunielewa.post yangu ya kwanza niliweka bei ya kununua hiyo gari ile amount in dollar then amount ya pili ilikuwa in tsh 23 ambayo ni kodi + convert hizo usd 10 ndo unapata bei ya kununua pamoja na kodi hiyo ni kwa gari used kutoka japan so it’s like usd 10,000 + 23 =57 estimates based on exchange rate then wewe yako ni number b umeagiza 2011 ukiweka uchakavu huwezi uza bei unayouza
Mi hata sikuelewi hoja yako ni ipi hasa! Nimekuambia from the beginning kwamba, ukiagiza hiyo gari inayouzwa kwa $10,692, ukiweka ONLY Import duty, excise duty na VAT, hiyo gari itafikia:
Exchange rate, non-cash is almost TZS 2,340 kwa dola moja, ambapo sub total itakuwa almost TZS 52,771,916.34
Ukichanganya makororo mengine ni zaidi ya 55M.
Ukaona hapana, ukanipa estimation calculator ambayo tangu awali nilikuambia sina haja nayo kwa sababu hizi estimation nishafanya sana manually kabla ya hizi estimation calculator mnazotegemea ziwape majibu!!!
Sasa kama ulijua jibu langu is almost sawa na hilo la calculator, kulikuwa na sababu gani ya kuitilia shaka figure yangu?
Aidha, kama hiyo gari ukiangiza leo thamani yake ni zaidi ya
TZS 55 Million wakati bei niliyoweka mimi ni 28M with a room to negotiation na wala sijataja bei ya mwisho, sasa hoja yako ni ipi hasa unaposema ya kwangu ni ghali?!
Btw, umetaja masuala ay depreciation kwenye gari yangu! Well and good. Kwavile nili-calculate bei ya gari uliyoweka na nikakuonesha hadi njia; kwa heshima na taadhima, naomba u-calculate, hatua kwa hatua, bei inayostahili gari yangu kwa kutumia
DEPRECIATION calculation!!
Lakini hapa nikukumbushe kwamba, na hiyo gari ambayo thamani yake ni zaidi
55 Million na yenyewe ni used. Aidha, na kwavile bei yake ni $10,692, I can bet mileage yake itakuwa kati ya 80K to 150K na kama nadanganya, weka hapa link ya hiyo gari tuone!
Kwa maana nyingine, leo hii ukiagiza hiyo gari ambayo mileage yake ni around 100,000KM, utagharamika
zaidi ya 55M ingawaje Wabongo utawasikia hizo mielage "imetembea Japan" as if huko Japan gari zinatembea hewani!!!
Halafu, kwamba eti kuna mtu anauza Discovery kwa 17M na bado hajapata mteja unaamini kabisa ni hoja ya msingi?! Kwahiyo kama hajapata mteja ndo inakuaje?! Man, gari haiozi na endapo watu hawatafika bei, inarudi barabarani kama kawa manake hivi sasa imepumzika tu!!