Car4Sale Toyota Prado bei sawa na bure

Car4Sale Toyota Prado bei sawa na bure

Oh!! I love being objective though I hate seeing myself I lack objectivity! I think all this is because of how we're born, raised or even the type of schools we attended, right sir?!
You said it. But this has little if anything to do with you as a person. You could look at it as personal reaction to the widespread culture of overpricing and overcharging of goods and services in this country.
 
So, it's overpriced only because you came out with those data that finally, according to you, proves that ALL 2002 Toyota LANDCRUISER PRADO SERIES - 120 / 121 LWB will be around 40M!!!

Tell me am wrong, and you don't believe there are other 2002 Toyota Prado of the same production line which can cost you even less than 15 M and there are others which may go above 60M. Do you?!
 
Teteette B ya 2009 hiyo.. halafu km 150k asalaaaleh
Search for the latest model nipo tayari kukusaidia kuiagiza directly from Japan and I hope utailipia bila ngwengwe! Upo tayari mzee?
 
Hapo anakuelewesha kuwa umeoverprice gari uliyopewa kuuza. Kama ukiagiza Leo kutoka Japan model ya gari unayotaka kuuza unapata kwa chini ya 20m. Sasa iliyotumika Bongo zaidi ya miaka 10 huwezi uza zaidi ya bei ya kuagiza gari kutoka Japan. Nduguyangu nenda kwenye uhalisia itauzika. Hapo wataalam wa kuagiza na wanunuzi wa magari wanakushangaa.. Ndio maana nikakuambia kuwa mkweli na nafsi yako.
Sasa we umekuja kufanya nini tena huku wakati nilishakuambia nikishaleta chakula cha vifaranga nitakushitua?! Na FYI, si wewe wala huyo mwenzako mwenye cha kunifundisha au kunielewesha kuhusu hilo suala manake, kwa kuangalia tu mwandiko wako, am SURE kwa mara ya kwanza naagiza gari, tena enzi hizo Escudo, wakati huo wewe hata simu ya mkononi ulikuwa huna!!! Na ingawaje umehangaika eti kufafanunua kuhusu kuagiza gari, my question to him was too sarcastic, and in fact, I was mocking him!!!
 
Sasa Mkuu umetumia Business Model ipi kuthaminisha gari kwa valuation tofauti ya mwaka 2006?

Let me guess! Kwamba, kwavile hii gari ni ya 2002, ndipo uka-assume ni miongoni mwa zile ambazo ziliagizwa 2006! Kama assumption yako ndiyo hiyo:
  • Je, unataka kuniambia gari zooooote za hiyo model ambazo ziliingia TZ mwaka 2006 ziliuzwa kwa $10,692 bila kujali factors zingine zinazo-determine bei ya magari kama vile mileage n.k?
  • Ina maana hapakuwa na dollar fluctuation kwa mwaka mzima?
  • Kwanini umetumia valuation ya 2006 na sio ya 2002, 2003, 2004, 2005 au after 2006?
And to be honest, hiyo thamani uliyoweka haijafika hata nusu ya ile iliyotumika hadi gari kuingia gari pale ilipoagizwa!
mkuu pole na majukumu kaka ,Hii bei niliyoweka ni bei halisi ya kununua hiyo gari kwa leo kama utaagiza kutoka japan.Nimeweka bei halisi ya gari ikiwa japan na pia nimeweka na ushuru wake kwa leo.Mkuu ukitaka kuchukulia factor yako hiyo gari unaweza kuuza hata kwa milioni 15. Kama sijakosea hiyo gari imeagizwa mwaka 2011 then calculate uchakavu wake utapata bei halisi.
 
Toyota Prado ambayo kwa kiasi kikubwa ni imetumika kwa misele ya Dar es salaam ingawaje mara moja moja ilikuwa inapiga trip za mkoa. Gari ipo safi kabisa, ni wewe tu kuchukua funguo unasepa nayo.

FACT SHEET:
Make: Toyota
Model: Land Cruiser Prado
Manufactured Year: 2002
Mileage: 151,046 km
Fuel: Petrol
Engine Vol: 2700 cc
Sehemu ilipo: Mtoni Kijichi
Mawasiliano: 0676 30 55 18
BEI: TZS 28 Million! Kibongo bongo maongezi yapo, sana tu>>> HAKUNA DALALI

Anayehitaji huo usafiri, karibu tufanye biashara!View attachment 924420

View attachment 924425

View attachment 924421

View attachment 924422

View attachment 924423

View attachment 924424
Nimefungua haraka haraka kusikia bei sawa na bure lakini nilioyakuta humu sio sawa na bure
 
mkuu pole na majukumu kaka ,Hii bei niliyoweka ni bei halisi ya kununua hiyo gari kwa leo kama utaagiza kutoka japan.Nimeweka bei halisi ya gari ikiwa japan na pia nimeweka na ushuru wake kwa leo.Mkuu ukitaka kuchukulia factor yako hiyo gari unaweza kuuza hata kwa milioni 15. Kama sijakosea hiyo gari imeagizwa mwaka 2011 then calculate uchakavu wake utapata bei halisi.
Man, post hii yako ni hapa:
You are viewing Valuation Details of a 2006 TOYOTA LANDCRUISER PRADO SERIES - 120 / 121 LWB - SUV.

CIF
Dar es Salaam
$10,692 + TOTAL TAXES (TSHS):23,006,366.92

kaka kweli gari iko ghali ila sasa kuiuza wakati huu ndo utata aisee
Man, rudia upya hizo calculation zako! There's no way gari ambayo CIF ni $10,692 ukaitoa bandarini baada ya kukugharimu TZS 23,006,366.

Kwa hesabu za haraka (am ready to be corrected kwa sababu tangu aingie Magu, sijafahamu calculations zao).

Kwanza import duty ambayo kama haijabadilika ni 25%. So, itakuwa almost $2,673 + 10,692 = $13,365
Then tafuta cc Excise Duty ambayo ni 10%, ambayo itakuwa $ 1,336.5 + $13,365 = $14,701.5
Then tafuta Excise Duty inayotokana na umri wa gari ambayo ni 30% ambayo ni $4,410.45.+ $14,701.5 = $19,111.95
Then tafuta VAT ya 12,830 ambayo ni 18%, then itakuwa $ 3,440.151 + $19,1111.95 = $22,552.101

Exchange rate, non-cash is almost TZS 2,340 kwa dola moja, ambapo sub total itakuwa almost TZS 52,771,916.34

REMEMBER, hapo sijaweka viushuru vingine vingine kama vile za clearing wala bandari!

Sasa wewe hiyo TZS 23,006,366 umeipataje pataje?! You could at least take trouble kutumia zile online estimation calculators but I don't need them cuz' watu tumeanza haya mambo kabla ya hizo online estimation calculators hazijakuwa introduced!

No wonder watu kibao wana-surrender magari bandarini au kuamua kuyauza at cost price.
 
poa kaka uwe na amani kaka. Ni hivi ingia hapa Used Motor Vehicle Valuation System - Used Motor Vehicle Valuation System weka details za gari ndo utajua bei halisi.Labda mimi nimekosea model ya gari ila hapa kila kitu hakidanganyi.MKuu hii ghari unauza ghali sana mkuu na huwezi kupata mteja na samahni unaweza ukafikiri sasa watu hawajawa wajanja ila watu wamekuwa wajanja zile hela za kupigwa tena hapana. ukiuza sana hiyo gari ni milioni 12.Kuna jamaa anauza discovery 2 ya mwaka 2001 imeagiza mwezi na nusu umepita anataka 17 hajapata mteja sembuse hii
 
Mambo mengine ni kutumia tu common sense na wala haina haja ya kujichosha!

How come gari ambayo CIF ni $10,692 useme ukiinunua gharama yake ni TZS 23, 006,366.92? Ina maana hiyo gari haitozwi kodi?

Exchange rate ya jana ni TZS 2,340. Hii maana yake ni kwamba, equivalent amount ya $10,692 ni TZS 25,019,280. Hiyo amount imezidi amount uliyoweka wewe na hapo hatujaongeza gharama ya kodi hata senti 5! Kwa maana nyingine, gharama ya hiyo gari kabla ya kodi ni TZS 25,019,280/= wakati unasema thamani yake ni TZS 23,006,366.92 tax inclussive! Man, are you serious?

Hiyo gari utapitisha bandari ya wapi ambayo haina kodi? Tena usisahau, hiyo gari ina umri wa zaidi ya miaka 10 ambayo Excise Duty yake inakuwa pasua kichwa!

For the time being, nipo busy kwahiyo siwezi kutumia hiyo calculator yako but am telling you, nina uzoefu na haya mambo na wala sina haja ya kutumia estimation calculator. Tuliza kichwa kisha ingiza hizo figures taratibu kama jibu lako halijakaribiana na langu ambalo nime-calculate manually!

Jambo la kuzingatia ni kwamba, kuna kodi za aina 4 kwahiyo unatakiwa kuwa makini wa kuingiza hizo data.

1. Import Duty
2. Excise Duty on c.c
3. Excise Duty on car life time
4. Value Added Tax.

Hapo utaona kodi peke yake ni zaidi ya TZS 25,000,000.
 
Hizo gharama peke yake, ukitoa bei ya gari zinazidi TZS 20,000,000.

It will take time kunielewa.post yangu ya kwanza niliweka bei ya kununua hiyo gari ile amount in dollar then amount ya pili ilikuwa in tsh 23 ambayo ni kodi + convert hizo usd 10 ndo unapata bei ya kununua pamoja na kodi hiyo ni kwa gari used kutoka japan so it’s like usd 10,000 + 23 =57 estimates based on exchange rate then wewe yako ni number b umeagiza 2011 ukiweka uchakavu huwezi uza bei unayouza
 
Mi hata sikuelewi hoja yako ni ipi hasa! Nimekuambia from the beginning kwamba, ukiagiza hiyo gari inayouzwa kwa $10,692, ukiweka ONLY Import duty, excise duty na VAT, hiyo gari itafikia:
Exchange rate, non-cash is almost TZS 2,340 kwa dola moja, ambapo sub total itakuwa almost TZS 52,771,916.34
Ukichanganya makororo mengine ni zaidi ya 55M.

Ukaona hapana, ukanipa estimation calculator ambayo tangu awali nilikuambia sina haja nayo kwa sababu hizi estimation nishafanya sana manually kabla ya hizi estimation calculator mnazotegemea ziwape majibu!!!

Sasa kama ulijua jibu langu is almost sawa na hilo la calculator, kulikuwa na sababu gani ya kuitilia shaka figure yangu?

Aidha, kama hiyo gari ukiangiza leo thamani yake ni zaidi ya TZS 55 Million wakati bei niliyoweka mimi ni 28M with a room to negotiation na wala sijataja bei ya mwisho, sasa hoja yako ni ipi hasa unaposema ya kwangu ni ghali?!

Btw, umetaja masuala ay depreciation kwenye gari yangu! Well and good. Kwavile nili-calculate bei ya gari uliyoweka na nikakuonesha hadi njia; kwa heshima na taadhima, naomba u-calculate, hatua kwa hatua, bei inayostahili gari yangu kwa kutumia DEPRECIATION calculation!!

Lakini hapa nikukumbushe kwamba, na hiyo gari ambayo thamani yake ni zaidi 55 Million na yenyewe ni used. Aidha, na kwavile bei yake ni $10,692, I can bet mileage yake itakuwa kati ya 80K to 150K na kama nadanganya, weka hapa link ya hiyo gari tuone!

Kwa maana nyingine, leo hii ukiagiza hiyo gari ambayo mileage yake ni around 100,000KM, utagharamika zaidi ya 55M ingawaje Wabongo utawasikia hizo mielage "imetembea Japan" as if huko Japan gari zinatembea hewani!!!

Halafu, kwamba eti kuna mtu anauza Discovery kwa 17M na bado hajapata mteja unaamini kabisa ni hoja ya msingi?! Kwahiyo kama hajapata mteja ndo inakuaje?! Man, gari haiozi na endapo watu hawatafika bei, inarudi barabarani kama kawa manake hivi sasa imepumzika tu!!
 
Hapo anakuelewesha kuwa umeoverprice gari uliyopewa kuuza. Kama ukiagiza Leo kutoka Japan model ya gari unayotaka kuuza unapata kwa chini ya 20m. Sasa iliyotumika Bongo zaidi ya miaka 10 huwezi uza zaidi ya bei ya kuagiza gari kutoka Japan. Nduguyangu nenda kwenye uhalisia itauzika. Hapo wataalam wa kuagiza na wanunuzi wa magari wanakushangaa.. Ndio maana nikakuambia kuwa mkweli na nafsi yako.
How old are you, son?
 
Sasa we umekuja kufanya nini tena huku wakati nilishakuambia nikishaleta chakula cha vifaranga nitakushitua?! Na FYI, si wewe wala huyo mwenzako mwenye cha kunifundisha au kunielewesha kuhusu hilo suala manake, kwa kuangalia tu mwandiko wako, am SURE kwa mara ya kwanza naagiza gari, tena enzi hizo Escudo, wakati huo wewe hata simu ya mkononi ulikuwa huna!!! Na ingawaje umehangaika eti kufafanunua kuhusu kuagiza gari, my question to him was too sarcastic, and in fact, I was mocking him!!!
Nachokukubali kiongozi ni kipaji chako. Unawezaje kupoteza muda wako kubishana na vimwaga mkojo visivyomiliki japo Vitz old model? Yaani serious kabisa unamjibu mtu anayelinganisha hiyo Prado na Vitz 4? Like serious? We jamaa una moyo mkuu sana wa uvumilivu...

All the best though...
 
Back
Top Bottom