Toyota Prado inauzwa, Gari safi,bei safi.

Kwahiyo bei ndugu utakaa nalo milele.

I knew it, ndugu unataka prado iuzwe kwa bei ya passo teh teh teh!!! Usiogope bei ya kuanzia Waswahili tuna kitu tunaita maelewano!! Unaweza kujikuta unanunua m10
 
Hupati zaidi ya mil 18 apo pamoja na dalali
 
Prado ya 97 hapo bei umeenda juu sana ila ni haki yako kuuza bei yoyote
 
Back
Top Bottom