Toyota Prado Ipi Bora?


Sasa 2TR ina cylinder ngapi? Kama sio nne ...prado lenye 6 ni lile la cc 4000 petrol....zingine sinui kina 5L 1KD ni 4cyltu


Kuhusu nguvu tunaangalia output ya engine husika .,.sidhani kama unaijua 1GD ftv utaikuta kwa hiace na prado za kwanzia generation ya 4 ....ni 4cyl tu nguvu ni zaidi ya vicruza vya 1HD zenye 6cly hata kusepa kufika 100 linaizid cruza lx hizi
 

Prado generation ya nne yenye 1GD Ftv ni Moto mwengne huwezi fananisha na ki 1HZ hata 1HD
 
....ni 4cyl tu nguvu ni zaidi ya vicruza vya 1HD zenye 6cly hata kusepa kufika 100 linaizid cruza lx hizi

Hizo nguvu za ziada za Prado 1GD wanazitumiaje, kusombea korosho ????

Au ina seat za watu 15 ?????
 
Nadhani jamaa hajui 3rz vizuri,, ikijitahidi sana ni 7.5 km hiyo 1GR v6 inakula vzr kuliko 3rz 1gr Unaweza kupata hata km9
1GR engine pendwa ya Toyota...Tangu 2002 iko mzigoni. Ameiamini kuifunga mpaka kwenye flag ship yake Landcruiser 300 series . Bonge moja la engine.
 
1GR engine pendwa ya Toyota...Tangu 2002 iko mzigoni. Ameiamini kuifunga mpaka kwenye flag ship yake Landcruiser 300 series . Bonge moja la engine.
Inajiweza sana hiyo engine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…