Brake za journey balaa kuna moja lilinitesa kutoka kasumulu to dar na mguu moja tu..
kha humu jf kuna vifaa.....hili ngarangara mwenge posta lingenitoa jasho wewe uetoka nalo wapi?!! kasumulu ndio mkoa gani.
Nyinyi ndio mnasabisha ajali watu wanapoteza maisha yao halafu mnajisifu. Tanzania maximum speed ni 100Kph.
Kama una nia ya kujiua usitafutie balaa na wengine, kuna njia nyingi za kujipotezea maisha bila kupotezea maisha na wengine nazo zipo nje ya barabarani.
Huo ni ujinga na si sifa.
Ni Sheria gani hiyo inayosema tanzania maxmum speed ni 100km/hr?? Hebu Share nasi kidogo.
Mh,kwa sheria zetu sijui kama kuna kibao kinachoelekeza hivyo Tanzania. Utakua ulishafika Tasmania!kuna siku niliendesha kwenda lindi,kuna strecht ina kibao cha max speed 120km/hr. au nilishatoka tanzania bila kujijua!!
Kasumulu ni Kyela. Kwenye mpaka wa Tanzania na Malawi.kha humu jf kuna vifaa.....hili ngarangara mwenge posta lingenitoa jasho wewe uetoka nalo wapi?!! kasumulu ndio mkoa gani.
Nilichogundua ni kwamba magari yanayotumia sport rimu zina tabia ya kujifungua taratibu,hivyo ni muhimu kujaribu kukaza matairi yako mara kwa mara
sina uzoefu na prado hivyo sijui kama matairi yanachomoka kwa kujifungua tairi au ni ekseli nzima inachomoka.
Naomba ufafanuzi zaidi ili tuchukue tahadhari kikamilifu.
Ahsante mkuu kwa ufafanuzi huo.Maranyingi matairi huwa hayachomoki mfumo wa boljoint haipo poa. Kwa kawaida na kwa gari zingine hizo boljoint zinapofikia wakati hazifai huanza kapiga kelele lkn kwa tabia ya hizi Prado zinapofikia hatua boljoint kuchoka huwa zinachomoka ktk kiunganishi cha hub ambacho ndo kiungo kikuu kati tairi na mfumo mzima.
Pia hiyo tabia ipo ktk Gx90(Baloon) car. Jaribu kuchunguza utagundua baloon nyingi is the same part ya huo mfumo na Prado.
Nilikuwa nalo likanichomokea tairi mara mbili ila sikupata madhara namshukuru Mungu. Niliuzilia mbali wasukuma wanahangaika nalo Mwanza huko. Nissan expensive to maintain but iko mwake. L/C vx nazo nzuri sana. Toyota sijui kuna hujuma au ni kukosea tuu.
Mh,kwa sheria zetu sijui kama kuna kibao kinachoelekeza hivyo Tanzania. Utakua ulishafika Tasmania!
Hakika Gx 100 shida ni ball joint zina zinguwa sanaa sijui kwanini
Na mie niliwahi sikia Isuzu journey zina shida ya break
Sent from my iPhone using JamiiForums app
Toyota sijui kuna hujuma au ni kukosea tuu.
Mh,kwa sheria zetu sijui kama kuna kibao kinachoelekeza hivyo Tanzania. Utakua ulishafika Tasmania!