Tsn motors
Member
- Dec 23, 2017
- 70
- 160
Hizo biashara muachie wa hindi na waarabu, sie wabongo hizo biashara zilisha tushinda hatuko wazi na tuna tamaa ya faida kubwa gari ya 14m unataka uiuze 18m, gharama za tracking device na bima no za nani hapo hutaki kutaja riba yako, sio rahisi mbongo kufanikisha biashara ya namna hiyo, labda kuuza nafaka na mazao hizo tunaweza vzruTANGULIZA 9MILLION PEKEE View attachment 2288132
KUPATA MKOPO KWETU NI RAHISI BILA MASHARTI MAGUMU WA MAGARI KUTOKA JAPAN
1.UTAWASILISHA KITAMBULISHO UKIWA NA TIN# YAKO PAMOJA NA PASSPORT SIZE.
2.UTANGULIZI WA MALIPO YA 50% YA GARI HUSIKA.
3.CAR TRACK & COMPREHISIVE INSURANCE.
4.MKOPO NI KUANZIA MIEZI3,MIEZI 6,MIEZI 9 MPAKA MWAKA 1.
5.MKOPO HAUNA DHAMANA.
CALL
0769177042View attachment 2288133
View attachment 2288134
View attachment 2288135
View attachment 2288136
View attachment 2288137
View attachment 2288138
View attachment 2288139
View attachment 2288140
Kwamba hiyo Premio ni 18M?
Hii gari kwa 18m ni uongo wa hali a ya juu
Gari zimepanda sana beiiMaisha atuishi kwa kukalili mkuu ushawai ona wapi premio ya 14million[emoji28] or unazungumzia kipind cha jpm maisha yamebadilika ndugu
Premio kuagiza Cif ni 41,29Usd ambayo kwa sasa ni 9,703,150Million
Ushuru ni 7,100,000Million
Clearing 1,200,000Million
Total piga ujue inakuja ngapi[emoji23]View attachment 2288282
View attachment 2288283
Gari zimepanda sana beii
Hiyo premio ya mwaka gani boss?Yeye bado anaishi kwenye karne ya zamani sa hz maisha yamebadilika ist zenyewe unanunua kwa 15,000,000Million
Hiyo premio ya mwaka gani boss?