Car4Sale Toyota Premio kwa mkopo

Car4Sale Toyota Premio kwa mkopo

Tsn motors

Member
Joined
Dec 23, 2017
Posts
70
Reaction score
160
TANGULIZA 9MILLION PEKEE
BEF93458-2252-468C-8A03-24FFB1CB966C.jpg

KUPATA MKOPO KWETU NI RAHISI BILA MASHARTI MAGUMU WA MAGARI KUTOKA JAPAN

1.UTAWASILISHA KITAMBULISHO UKIWA NA TIN# YAKO PAMOJA NA PASSPORT SIZE.

2.UTANGULIZI WA MALIPO YA 50% YA GARI HUSIKA.

3.CAR TRACK & COMPREHISIVE INSURANCE.

4.MKOPO NI KUANZIA MIEZI3,MIEZI 6,MIEZI 9 MPAKA MWAKA 1.

5.MKOPO HAUNA DHAMANA.

CALL
0769177042
69D2B953-97F5-4734-BF43-CFF3061DD465.jpg

2D1E410A-0483-4AF1-A0DA-C87152823F31.jpg

16B75477-6A4C-4145-B5AA-08CB7B9CBA79.jpg

EEBAFD80-CE8C-436B-BACE-F444D5B25A02.jpg

642B5D13-B6DE-447F-A9F7-5A74E4F52397.jpg

0D97A497-92DB-4B75-8321-17E7488C09FB.jpg

DAAB5404-56DC-48FD-AB55-C90E788ED8E8.jpg

14343A83-E57C-4559-A8FD-689A10B4C8BC.jpg
 
Utakapofail kulipa mkopo ndipo utajua kulikua na dhamana au la, BTW this approach sucks get the money and grab gari ya budget yako
 
TANGULIZA 9MILLION PEKEE View attachment 2288132

KUPATA MKOPO KWETU NI RAHISI BILA MASHARTI MAGUMU WA MAGARI KUTOKA JAPAN

1.UTAWASILISHA KITAMBULISHO UKIWA NA TIN# YAKO PAMOJA NA PASSPORT SIZE.

2.UTANGULIZI WA MALIPO YA 50% YA GARI HUSIKA.

3.CAR TRACK & COMPREHISIVE INSURANCE.

4.MKOPO NI KUANZIA MIEZI3,MIEZI 6,MIEZI 9 MPAKA MWAKA 1.

5.MKOPO HAUNA DHAMANA.

CALL
0769177042View attachment 2288133
View attachment 2288134
View attachment 2288135
View attachment 2288136
View attachment 2288137
View attachment 2288138
View attachment 2288139
View attachment 2288140
Hizo biashara muachie wa hindi na waarabu, sie wabongo hizo biashara zilisha tushinda hatuko wazi na tuna tamaa ya faida kubwa gari ya 14m unataka uiuze 18m, gharama za tracking device na bima no za nani hapo hutaki kutaja riba yako, sio rahisi mbongo kufanikisha biashara ya namna hiyo, labda kuuza nafaka na mazao hizo tunaweza vzru
 
Maisha atuishi kwa kukalili mkuu ushawai ona wapi premio ya 14million[emoji28] or unazungumzia kipind cha jpm maisha yamebadilika ndugu

Premio kuagiza Cif ni 41,29Usd ambayo kwa sasa ni 9,703,150Million

Ushuru ni 7,100,000Million

Clearing 1,200,000Million

Total piga ujue inakuja ngapi[emoji23]
IMG_0713.jpg

IMG_0712.jpg
 
Maisha atuishi kwa kukalili mkuu ushawai ona wapi premio ya 14million[emoji28] or unazungumzia kipind cha jpm maisha yamebadilika ndugu

Premio kuagiza Cif ni 41,29Usd ambayo kwa sasa ni 9,703,150Million

Ushuru ni 7,100,000Million

Clearing 1,200,000Million

Total piga ujue inakuja ngapi[emoji23]View attachment 2288282
View attachment 2288283
Gari zimepanda sana beii
 
Back
Top Bottom