Toyota Premio new model vs old model

Toyota Premio new model vs old model

zigi 01

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2017
Posts
317
Reaction score
170
Napenda kujua vizuri utofauti wa haya magari new model iko vipi? Na old model iko vipi
1.kimuonekano
2.ukubwa wa engine
3.mwaka wa kutengenezwa
4.wastani wa bei kwa hapa Tanzania
Napenda kujua ili nifanye uchaguzi sahihi , nahitaji kuinunua mwezi ujao na sina uzoefu nazo sana
 
Premio new model ya 2008 ina engine ya 2ZR na 1NZ ambayo taa zake zimevimba kutoka nje. Na bei yake Show room ni ml25 mpaka ml 18

Ipo pia Primio ya 2003 hadi 2007 yenyewe ina engine ya 1NZ, 1ZZ na 1AZ ambayo show room inauzwa ml. 15 mpka ml13.5

Na Primio Old ya 1994 ipo yenye engine ya 5A, 7A na 3S. (5A cc1490), 7A cc1790 na 3S cc1998.

Chukua Primio ya 2003-2007 (1NZ itakufaa)
 
Kwa hiyo mkuu 2003 hadi 2007 hizi ni old model sio?
 
Acha ujinga, hauna hela ya kununua yoyote ile, mwenye uwezo wa kununua Prado hawezi uliza swali la kijinga kama hilo, ...
 
Primio 2003-2007
591844-02.jpeg
 
Premio new model ya 2008 ina engine ya 2ZR na 1NZ ambayo taa zake zimevimba kutoka nje. Na bei yake Show room ni ml25 mpaka ml 18

Ipo pia Primio ya 2003 hadi 2007 yenyewe ina engine ya 1NZ, 1ZZ na 1AZ ambayo show room inauzwa ml. 15 mpka ml13.5

Na Primio Old ya 1994 ipo yenye engine ya 5A, 7A na 3S. (5A cc1490), 7A cc1790 na 3S cc1998.

Chukua Primio ya 2003-2007 (1NZ itakufaa)
Hapa nashauri achukue 1ZZ ya cc 1790 hatojutia
 
Premio new model ya 2008 ina engine ya 2ZR na 1NZ ambayo taa zake zimevimba kutoka nje. Na bei yake Show room ni ml25 mpaka ml 18

Ipo pia Primio ya 2003 hadi 2007 yenyewe ina engine ya 1NZ, 1ZZ na 1AZ ambayo show room inauzwa ml. 15 mpka ml13.5

Na Primio Old ya 1994 ipo yenye engine ya 5A, 7A na 3S. (5A cc1490), 7A cc1790 na 3S cc1998.

Chukua Primio ya 2003-2007 (1NZ itakufaa)
Tupo mwaka 2021 unasema new model ni ya mwaka 2008..hebu tuache utani
 
Toyota Premio T240 (sio Toyota Corona) first generation ilianza kuzalishwa 2001 - 2007. New model T260 (second generation) ilianza June 2007 - 2020. December 2020 Toyota walitangaza kuwa watasitisha uzalishaji wa Premio na Allion kuanzia March 2021. Kwahiyo yuko sawa kusema new model ya 2008. Kilichokuwa kinafanyika hapo ni modifications ndogo ndogo kama facelift of the same model (generation).
 
Back
Top Bottom