Kwa hiyo mkuu 2003 hadi 2007 hizi ni old model sio?Premio new model ya 2008 ina engine ya 2ZR na 1NZ ambayo taa zake zimevimba kutoka nje. Na bei yake Show room ni ml25 mpaka ml 18
Ipo pia Primio ya 2003 hadi 2007 yenyewe ina engine ya 1NZ, 1ZZ na 1AZ ambayo show room inauzwa ml. 15 mpka ml13.5
Na Primio Old ya 1994 ipo yenye engine ya 5A, 7A na 3S. (5A cc1490), 7A cc1790 na 3S cc1998.
Chukua Primio ya 2003-2007 (1NZ itakufaa)
Kwa hiyo mkuu 2003 hadi 2007 hizi ni old model sio?
Hii inauzwaje mkuuPrimio 2008View attachment 1610931
Hizi mbona ground clearance yake ni kubwa kiasi ! Huwezi linganisha na Rumion au Wish au Raum mbona?Hizo gari zina ground clearance ndogo sana jamaa yangu inamtesa rough road labla Kama unatembelea lami hapo sawa, hyo old model ni imara kias .
Hapa nashauri achukue 1ZZ ya cc 1790 hatojutiaPremio new model ya 2008 ina engine ya 2ZR na 1NZ ambayo taa zake zimevimba kutoka nje. Na bei yake Show room ni ml25 mpaka ml 18
Ipo pia Primio ya 2003 hadi 2007 yenyewe ina engine ya 1NZ, 1ZZ na 1AZ ambayo show room inauzwa ml. 15 mpka ml13.5
Na Primio Old ya 1994 ipo yenye engine ya 5A, 7A na 3S. (5A cc1490), 7A cc1790 na 3S cc1998.
Chukua Primio ya 2003-2007 (1NZ itakufaa)
Engine nzuri hasa kama atakuwa mtu wa masafa sio kinyonge yani.Hapa nashauri achukue 1ZZ ya cc 1790 hatojutia
Tupo mwaka 2021 unasema new model ni ya mwaka 2008..hebu tuache utaniPremio new model ya 2008 ina engine ya 2ZR na 1NZ ambayo taa zake zimevimba kutoka nje. Na bei yake Show room ni ml25 mpaka ml 18
Ipo pia Primio ya 2003 hadi 2007 yenyewe ina engine ya 1NZ, 1ZZ na 1AZ ambayo show room inauzwa ml. 15 mpka ml13.5
Na Primio Old ya 1994 ipo yenye engine ya 5A, 7A na 3S. (5A cc1490), 7A cc1790 na 3S cc1998.
Chukua Primio ya 2003-2007 (1NZ itakufaa)
Toyota Premio T240 (sio Toyota Corona) first generation ilianza kuzalishwa 2001 - 2007. New model T260 (second generation) ilianza June 2007 - 2020. December 2020 Toyota walitangaza kuwa watasitisha uzalishaji wa Premio na Allion kuanzia March 2021. Kwahiyo yuko sawa kusema new model ya 2008. Kilichokuwa kinafanyika hapo ni modifications ndogo ndogo kama facelift of the same model (generation).Tupo mwaka 2021 unasema new model ni ya mwaka 2008..hebu tuache utani