Toyota premio new model

Toyota premio new model

mambucha

JF-Expert Member
Joined
Sep 23, 2013
Posts
279
Reaction score
160
Hivi hizi gari zina nini cha zaidi naona bei zake siyo chini ya 22 million plus.

magari_mjukuu-___3014700499135424180_7634813113___--5.jpg
 
Fuel efficiency mkuu, hio chuma naskia unaenda mpaka km 17 hata zaidi kwa lita moja.

Pia ina features kibao za kisasa, na ni za mwaka wa hivi karibuni (Wabongo tunaita new model) so bei lazima iwe juu kuzidi generation ya nyuma yake
 
Back
Top Bottom