Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 35,566
- 104,386
Hahahaha za 2014 izoHizi zinazo zagaa hapa 22M yy kauziwa 30M kisa ujuaji
Hahahaha za 2014 izoHizi zinazo zagaa hapa 22M yy kauziwa 30M kisa ujuaji
Hahahaha za 2014 izo
Showroom utapigwa, kwa mtu angalau 15-20
Hakuna m'bongo auze gari isio na shida. Hakuna.Na una kuta haina kipengele?
Hakuna m'bongo auze gari isio na shida. Hakuna.
Chief nakuchek DMNjoo nikuuzie premio yangu f
Mkuu si unaenda Tu Motech i, kwa laki moja Tu , unajua kama unauziwa Gari bovu au zimaHakuna m'bongo auze gari isio na shida. Hakuna.
Ulisomea magari?Yeah. Zipo engine tatu, cc 1500, cc 1800 na cc 2000. Zote nzuri bila shida.
Hata 35M unanunua inategemea Mazda Atenza gani ya mwaka gani yenye mileage ngapi na condition gani. Vilevile hata ya 20M unanunua. Gari sio sukari kwamba ina bei moja.Hizi zinazo zagaa hapa 22M yy kauziwa 30M kisa ujuaji