Toyota premio ya 2014

Hahahaha za 2014 izo

Ndio izo izo ni mjuaji nikikwambia mjuaji sijui kaka una nielewa mda wote ana isifia gari yake ni kali sana ni kama macdz tz hazipo nyingi ajabu mpak leo iyo gari hajui kuiendesha mpaka ina chakaa EQS lkn ukiona now hatari
 
Soma hii makala, kama dakika 10 tu itakua umejua kuhusu Premio sana sana engine size (izo cc), generation (hii ya muhimu saaana, ujue gen 1 lini na ikaisha lini, na gen 2 ivo ivo), nyie mnaita old model na new model,,,

 
Hizi zinazo zagaa hapa 22M yy kauziwa 30M kisa ujuaji
Hata 35M unanunua inategemea Mazda Atenza gani ya mwaka gani yenye mileage ngapi na condition gani. Vilevile hata ya 20M unanunua. Gari sio sukari kwamba ina bei moja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…