Toyota Raum, tatizo ni nyota au?

profesawaaganojipya

JF-Expert Member
Joined
Apr 21, 2015
Posts
1,595
Reaction score
3,416
Wadau, naomba kujua, kwanini toyota raum 1490cc watu hawazichangamkii sana? zina madhaifu gani?

Vipi kuhusu
1. Uimara na uvumilivu rafu rodi
2. Ulaji wa mafuta
3. Upatikanaji na bei ya spare parts.
4. Kuilinganisha na allex, runx ni sawa?
je kati ya model hizi ipi nzuri kwa ulaji kidogo wa mafuta?
 
Raum ni gari nzuri sana ina engine ngumu na ina muonekano mzuri, mimi sipendi tu milango yake basi
 
Raumu gari nzuri sana ila haina nyota ya kupendwa na watu wengi lakini ukilinganisha ulaji wa mafuta ni sawa na IST, RUMIO, PORTE, ALLION, VITZ nyingne nmesahau. Engine ni moja lakini zimefungwa katika maumbile tofauti ya magari lakini toyota RUMIO ni habari ya mjini kwa sisi wenye kipato cha kati.
 
toyota LUMIO ni ipi hiyo mzee?
 

Gari zuri sana, hulijui tu
 
Hamna gari inayoitwa laumu mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…