stephot
JF-Expert Member
- Mar 1, 2012
- 17,216
- 26,225
Hazivutii,na ule mlango wake wa kuburuza ndio kabisaa...Wadau, naomba kujua, kwanini toyota raum 1490cc watu hawazichangamkii sana? zina madhaifu gani?
Vipi kuhusu
1. Uimara na uvumilivu rafu rodi
2. Ulaji wa mafuta
3. Upatikanaji na bei ya spare parts.
4. Kuilinganisha na allex, runx ni sawa?
je kati ya model hizi ipi nzuri kwa ulaji kidogo wa mafuta?View attachment 2518705