TOYOTA RAV 4 3rd Generation

TOYOTA RAV 4 3rd Generation

etum

Member
Joined
Feb 18, 2014
Posts
70
Reaction score
51
Habari wakuu!!!

Mwenye kujua mazuri na mabaya juu ya hii gari hasa ya mwaka 2006 au 2007 aweke hapa tafadhali, baada ya kutumia gari ya chini ya kwa mda mrefu nataka kuhamia sasa kwenye gari ya juu kidogo (SUV) na katika pita pita zangu nimependezewa na hii generation hii ya toyota rav 4. Sasa mdau yeyote ambaye amekwisha wahi tumia hii kitu atueleze mawili au matatu kuhusu hii gari

Natanguliza shukrani.
 

Attachments

  • toyota rav 4 2006.PNG
    toyota rav 4 2006.PNG
    64.8 KB · Views: 38
We nunua mengine utayajua ukishaimiliki acha kupiga Ramli
 
Back
Top Bottom