Toyota Rav 4 inahitajika kununuliwa

Toyota Rav 4 inahitajika kununuliwa

Kitomai

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2009
Posts
1,074
Reaction score
308
Milango mitano. Automatic. Iwe katika hali nzuri.
Iwe aijawai kupata ajari.Bajeti 8.5mil.
Ikiwa unayo piga simu au tuma sms na 0784225000
 
Milango mitano. Automatic. Iwe katika hali nzuri.
Iwe aijawai kupata ajari.Bajeti 8.5mil.
Ikiwa unayo piga simu au tuma sms na 0784225000

Rev iliyokwenye hali nzuri huwezipata kwa 8.5M
Sijui hali nzuri ndio ipi hiyo.
Rav4 iliyokwenye hali nzuri ni 11m kwenda juu.
ndugu yangu kitomai umefanya sana biashara za magari. usitake kuniangusha
sema tu una 8.5m unataka rav4. hiyo issue ya hali nzuri achana nayo kabisa
 
Milango mitano. Automatic. Iwe katika hali nzuri.
Iwe aijawai kupata ajari.Bajeti 8.5mil.
Ikiwa unayo piga simu au tuma sms na 0784225000

Ukipata na mimi nishtue Mkuu, nahitaji RAV 4 ya bajeti hiyo.
 
Kuna mdau anayo manual if u dont mind

pm me nikupe his number
 
Bei hiyo huwezi pata nzuri.itakuwa lazima na tatizo. labda milioni kumi kuna jamaa anayo.
 
ipo ya bei hiyo isipokua yenyewe ni manual. utaiweza?
 
Hiyo gari ipo dar sehemu gani? Unaweza kunitumia picha zake katika email yangu kitomai.1stchoice@gmail.com
 
Mwambie huyo mda tuwasiliane katika simu. O717114409
 
Back
Top Bottom