Napenda hili gari Toyota RAV4 1998 ila nimeshindwa kutofautisha kati ya RAV4 J V na RAV4 L V. Naomba mwenye uzoefu wa kujua tofauti ya hizi gari ni nini, nataka kujua ili nikanunue mojawapo.
Nikaagize gari moja kwa moja Japani au hamna haja nikachukue showroom dar...which is better? Nauliza maana hivi vitu km huna uzoefu ukaenda kichwa kichwa unaweza kubugi ukajilaumu sana.
Hii gari imeshakuwa ya siku nyingi sana, hata muonekano wake sio mzuri tena, na haina conforability, fata ushauri wa wadai mkuu. Nunua gari hata ukiwa ndani unahisi kabisa uko kwenye ndinga!..
Hii gari imeshakuwa ya siku nyingi sana, hata muonekano wake sio mzuri tena, na haina conforability, fata ushauri wa wadai mkuu. Nunua gari hata ukiwa ndani unahisi kabisa uko kwenye ndinga!..
Mzee siyo kila ushauri unakubali kubali tu. Wewe kama roho imezama hapo hayo maswali ya kitaalamu uliza google. Utanunua gari ambayo wadau wametaka kisha asubuhi moja unaiwasha haiwaki utajisemea "Yote wameyataka wao mi nilitaka Rav 4 ya 98 wakajidai ooh nunua xtrail ona sasa"