Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mi mwenyewe sikuungi mkono,japo ndio gari ninayotumia, haina comfotability barabarani kabisa,hasa ikiwa haina abiria au mzigo ndani,ni nyepesi na inahama barabara,ukifika speed 120 inapoteza stability,inavibrate ,ulaji wa mafuta sio mzuri hasa likishapiga kuanzia 10000km. Ina tech ya zamani.zipo gari nzuri tu suv unaweza kununuaSawa,...... Nadhani na mimi nibadili mawazo hapa maana naona hakuna aliyeniunga mkono kuhusu hili gari
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 hio gari sijawahi hata kuota kuinunua, achilia mbali kuifikiria tu.Mi
Mi mwenyewe sikuungi mkono,japo ndio gari ninayotumia, haina comfotability barabarani kabisa,hasa ikiwa haina abiria au mzigo ndani,ni nyepesi na inahama barabara,ukifika speed 120 inapoteza stability,inavibrate ,ulaji wa mafuta sio mzuri hasa likishapiga kuanzia 10000km. Ina tech ya zamani.zipo gari nzuri tu suv unaweza kununua
Niuzie hiyoMi

Mkulima hauzagi trekta hata kama ana bmw x6Niuzie hiyo
Gari za showroom magumashi zishachezewa Sana. Agiza Japan Au Singapore.Nikaagize gari moja kwa moja Japani au hamna haja nikachukue showroom dar...which is better? Nauliza maana hivi vitu km huna uzoefu ukaenda kichwa kichwa unaweza kubugi ukajilaumu sana.
Mzee siyo kila ushauri unakubali kubali tu. Wewe kama roho imezama hapo hayo maswali ya kitaalamu uliza google. Utanunua gari ambayo wadau wametaka kisha asubuhi moja unaiwasha haiwaki utajisemea "Yote wameyataka wao mi nilitaka Rav 4 ya 98 wakajidai ooh nunua xtrail ona sasa"
Mi
Mi mwenyewe sikuungi mkono,japo ndio gari ninayotumia, haina comfotability barabarani kabisa,hasa ikiwa haina abiria au mzigo ndani,ni nyepesi na inahama barabara,ukifika speed 120 inapoteza stability,inavibrate ,ulaji wa mafuta sio mzuri hasa likishapiga kuanzia 10000km. Ina tech ya zamani.zipo gari nzuri tu suv unaweza kununua
Mzee siyo kila ushauri unakubali kubali tu. Wewe kama roho imezama hapo hayo maswali ya kitaalamu uliza google. Utanunua gari ambayo wadau wametaka kisha asubuhi moja unaiwasha haiwaki utajisemea "Yote wameyataka wao mi nilitaka Rav 4 ya 98 wakajidai ooh nunua xtrail ona sasa"
Hiyo gari ni ngumu sana.. tatizo inakula wese balaa
Dah!mkuu leo ndio nimejua maana zile herufi za rav4Gari za kina Meko hizo, hio V maana yake ni five doors yani milango mitano.
L ni luxury edition na J ni Limited edition.
Kati ya hiyo L na J ipi inakula sana wese mkuu.Gari za kina Meko hizo, hio V maana yake ni five doors yani milango mitano.
L ni luxury edition na J ni Limited edition.
Engine yake ni moja tu 3S so perfomance wise ziko sawa tu.Kati ya hiyo L na J ipi inakula sana wese mkuu.
Kuna rav 4 L nilitaka nunua muuzaji aliniambia tena hii gari ni nzuri zaidi maana injini yake ni vvti, je inamaana walibadilisha injini na upi ubora wa injini kuwa vvtiEngine yake ni moja tu 3S so perfomance wise ziko sawa tu.
Limited edition maana yake ni nini mkuu?Gari za kina Meko hizo, hio V maana yake ni five doors yani milango mitano.
L ni luxury edition na J ni Limited edition.
Haina mbwembwe ni basic functions tu. Utaikuta ina viti standard vya kitambaa, Redio kawaida with cheap speakers, haina sunroof na accessories zinazotoa more comfort kwa muendeshaji. Rim wataweka cheap and stiff suspension.Limited edition maana yake ni nini mkuu?
Siyo kweli, hiyo gari 140km/h haihami barabarani wala haitikisiki labda gari yako ina shida, tatizo la hilo gari ni kula mafuta kama Land cruiser. Lt 1 km 7. Ni gari isiyo sumbua.Mi