Toyota RAV4 1998

Toyota RAV4 1998

Sawa,...... Nadhani na mimi nibadili mawazo hapa maana naona hakuna aliyeniunga mkono kuhusu hili gari
Gari za kina Meko hizo, hio V maana yake ni five doors yani milango mitano.

L ni luxury edition na J ni Limited edition.
 
Mi
Sawa,...... Nadhani na mimi nibadili mawazo hapa maana naona hakuna aliyeniunga mkono kuhusu hili gari
Mi mwenyewe sikuungi mkono,japo ndio gari ninayotumia, haina comfotability barabarani kabisa,hasa ikiwa haina abiria au mzigo ndani,ni nyepesi na inahama barabara,ukifika speed 120 inapoteza stability,inavibrate ,ulaji wa mafuta sio mzuri hasa likishapiga kuanzia 10000km. Ina tech ya zamani.zipo gari nzuri tu suv unaweza kununua
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 hio gari sijawahi hata kuota kuinunua, achilia mbali kuifikiria tu.
 
Mi
Mi mwenyewe sikuungi mkono,japo ndio gari ninayotumia, haina comfotability barabarani kabisa,hasa ikiwa haina abiria au mzigo ndani,ni nyepesi na inahama barabara,ukifika speed 120 inapoteza stability,inavibrate ,ulaji wa mafuta sio mzuri hasa likishapiga kuanzia 10000km. Ina tech ya zamani.zipo gari nzuri tu suv unaweza kununua
Niuzie hiyo
 
Nikaagize gari moja kwa moja Japani au hamna haja nikachukue showroom dar...which is better? Nauliza maana hivi vitu km huna uzoefu ukaenda kichwa kichwa unaweza kubugi ukajilaumu sana.
Gari za showroom magumashi zishachezewa Sana. Agiza Japan Au Singapore.
 
Roho inaweza kuwa imependa lkn ukanunua bomu mkuu
Mzee siyo kila ushauri unakubali kubali tu. Wewe kama roho imezama hapo hayo maswali ya kitaalamu uliza google. Utanunua gari ambayo wadau wametaka kisha asubuhi moja unaiwasha haiwaki utajisemea "Yote wameyataka wao mi nilitaka Rav 4 ya 98 wakajidai ooh nunua xtrail ona sasa"
 
Ahsante sn kiongozi kwa ushauri
Mi
Mi mwenyewe sikuungi mkono,japo ndio gari ninayotumia, haina comfotability barabarani kabisa,hasa ikiwa haina abiria au mzigo ndani,ni nyepesi na inahama barabara,ukifika speed 120 inapoteza stability,inavibrate ,ulaji wa mafuta sio mzuri hasa likishapiga kuanzia 10000km. Ina tech ya zamani.zipo gari nzuri tu suv unaweza kununua
 
nakushauri nunua hapahapa Nchini kwa watu unaweza mtangulizia robo tatu km 4m baadae ukamalizia 2m
1571764390034.png

ingia zoomtanzania.com zipo kibao
 
Ok Castr... maneno yako yana uzito flani hivi... Thank you
Mzee siyo kila ushauri unakubali kubali tu. Wewe kama roho imezama hapo hayo maswali ya kitaalamu uliza google. Utanunua gari ambayo wadau wametaka kisha asubuhi moja unaiwasha haiwaki utajisemea "Yote wameyataka wao mi nilitaka Rav 4 ya 98 wakajidai ooh nunua xtrail ona sasa"
 
Engine yake ni moja tu 3S so perfomance wise ziko sawa tu.
Kuna rav 4 L nilitaka nunua muuzaji aliniambia tena hii gari ni nzuri zaidi maana injini yake ni vvti, je inamaana walibadilisha injini na upi ubora wa injini kuwa vvti
 
Limited edition maana yake ni nini mkuu?
Haina mbwembwe ni basic functions tu. Utaikuta ina viti standard vya kitambaa, Redio kawaida with cheap speakers, haina sunroof na accessories zinazotoa more comfort kwa muendeshaji. Rim wataweka cheap and stiff suspension.
 
Mi
Mi mwenyewe sikuungi mkono,japo ndio gari ninayotumia, haina comfotability barabarani kabisa,hasa ikiwa haina abiria au mzigo ndani,ni nyepesi na inahama barabara,ukifika speed 120 inapoteza stability,inavibrate ,ulaji wa mafuta sio mzuri hasa likishapiga kuanzia 10000km. Ina tech ya zamani.zipo gari nzuri tu suv unaweza kununua
Siyo kweli, hiyo gari 140km/h haihami barabarani wala haitikisiki labda gari yako ina shida, tatizo la hilo gari ni kula mafuta kama Land cruiser. Lt 1 km 7. Ni gari isiyo sumbua.
 
Back
Top Bottom