Toyota RAV4 inauzwa - 16 mil (haina tatizo)

Toyota RAV4 inauzwa - 16 mil (haina tatizo)

Matendo Andrew

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2014
Posts
750
Reaction score
367
Piga 0714 045 080.
engine capacity 1990
Waoga Wa mafuta shikamooni
Ila kawaida sio kiviiiile
Piga 0714 045 080.
 

Attachments

  • 1407321467266.jpg
    1407321467266.jpg
    40.8 KB · Views: 1,060
  • 1407321497506.jpg
    1407321497506.jpg
    44.8 KB · Views: 948
Ni four wheel?


Sent from my iPhone using JamiiForums app
 
Milage ngapi? Je ni vvti engine au. Pia naomba kujua kama ulishawakupata ajali..thanks.
 
Mil 16 nyingi sana kwa gari hiyo, zama hizi, shuka, utapata mteja.
 
Piga 0714 045 080.
engine capacity 1990
Waoga Wa mafuta shikamooni
Ila kawaida sio kiviiiile
Piga 0714 045 080.

We jamaa ni muongo wa waongo ..... hivi hapa bongo wenye uwezo wa kununua gari lisilo na tatizo lolote ni wangapi vile...?? we una ubavu wa kutoa oda kiwandani wakakufytulia gari mpya ya namna hiyo isiyo na tatizo lolote kwa 16 milioni?? we bora ungesema nina uza gari 16 ml , mwenye kuhitaji mtafutane.
 
Kwa point yako upo sawa. Na Mimi nasema wewe sio mzima yaani mgonjwa je! Unakataa?
 
Mkuu unajua kilefu cha rav 4.?

Just a help.... RAV4 stands for Recreational Activity Vehicle, 4-
wheel drive. However, many RAV4s do not actually have 4-wheel
drive.
 
Engine ya D4 hiyo !! Ndio maana bei imepoa! Ukikuta vvti thubutu!
 
Back
Top Bottom