Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Gari halikuwa na matunzo mazuri...... kama kutengeneza kiti tu ni sheeda! service ikoje???? lazima tusemeeeeeeee. Mnaonunua magari used bongo kuweni makini......IST
Cc 1290
Year 2003
Full AC
Bei 6mil
View attachment 1893173View attachment 1893175View attachment 1893177View attachment 1893182
Mkishapigwa mje na mrejesho hapahapa. Jamaa kaona canter kama hivi kailipia na kuambiwa tangulia wakati tukibadilisha document. Nyuma wakachakachua injini. Gari ilianza kazi kwa matengenezo ya 2m kwanza.Dalali Hana tamaa huyu
Unapigwaje sasa ndugu, hiyo scenario uliyoeleza ina ukakasi kidogo.Mkishapigwa mje na mrejesho hapahapa. Jamaa kaona canter kama hivi kailipia na kuambiwa tangulia wakati tukibadilisha document. Nyuma wakachakachua injini. Gari ilianza kazi kwa matengenezo ya 2m kwanza.
Nunua tu hiyo gari, utakuja kunikumbuka....Ningekuwa sioi mwaka huu hii ningepambana niichukue.
Mkuu hongera bei zako ni zinashawishi
Hii brevis cc ngapi?