Car4Sale Toyota Rush 8.5M

Car4Sale Toyota Rush 8.5M

mrico

Senior Member
Joined
Mar 29, 2013
Posts
173
Reaction score
97
Good condition Toyota Rush available for sale.
8.5 Million Tshs .
Buy now for 7.5 million (no negotiation)
Engine size: 1490cc
Manufacture yera:2006
Transmission: Manual
Color: Black
Fuel: petrol
No DDR
contact: call/sms/whatsapp 0699494650
Dar es Salaam

20200930_162049.jpg


20200930_162134.jpg

20200930_162126.jpg


 

Attachments

  • 20200930_162033.jpg
    20200930_162033.jpg
    369.1 KB · Views: 26
  • 20200930_162055.jpg
    20200930_162055.jpg
    443.5 KB · Views: 25
Mbona picha chache mkuu, tuma basi hata picha ya mbele tuone!
 
Ndugu tumalize mzizi wa fitina ongeza 500k , njoo uchukue mashine ya kazi..7M cash.
Hii gari ukiingia nayo arusha au mwanza mzee unauza zaidi ya hiyo 7 kule wanapenda manual ila hapa DSM ni shida. Wanaume wa Dsm bhana😅😅
Mimi napenda sana Manual, sema mpunga ndo shida.
 
Mimi napenda sana Manual, sema mpunga ndo shida.
Usijali mungu atakuzidishia ndoto zako zitatimia siku moja zidisha juhudi kwenye misheee zako. Nehemia 4:6
 
Back
Top Bottom