Habari zenu
Ninataka kununua gari, Toyota Rush, hii iliyopo ktk link hii:-
Toyota Rush 2007
Je, itanigharimu kiasi gani hadi ninaitia mkononi?
Msaada wenu tafadhali . Na pia ufafanuzi wa calculation hiyo