Toyota RV4 2007 model 2.4 vs Toyota harrier 2.4 model 2003/7

Zote ni nzuri Mkuu
Lkn harrier ukipata yenye injin ya piston 4 hio itakua ni nzuri ZAIDI saana..kutokana na unywaji wake wa mafuta..
Lkn harrier yenye injin ya piston 6 hapo mkuu itakubidi ufunge mkanda kuhus matumiz ya mafuta

Sent from Calculator Phone vesion007
 
Ahsante mkuu kwa ushauri,japo kwa uelewa wangu nilifikiri cc 2400 ni four cylinder/pistons na cc 3000 ni six cylinder.Kama sivyo msaada jinsi ya kutofautisha...four piston au six piston

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapana mkuu utoafuti wa cc600 hauwezi ukawa wa piston mbili
Cha msingi na uhakika fungua tu bonet iangalie mwenyewe machine kama ni 4 au Lay
Au muulize hata huyo mmiliki wa gari

Sent from Calculator Phone vesion007
 
Harrier ni nzuri, no gari pana ndani ina nafasi ya kutosha. Rav 4 imebana sana mtu mwenye miguu mirefu hawi comfortable sana. Lakini Harrier zipo za CC 1160 tafuta hizo ndio nzuri na ziko nyingi.

Sent using Jamii Forums mobile app[/QU
acha uongo,harrier ipi ya hzo cc za kirikuu
 
Habarini wakuu,ipi kati ya gari tajwa ni nzuri kwa mazingira yetu ya tanzania.Gari zote zikiwa ni used toka Japani,wataalamu naombeni ushauri.

Sent using Jamii Forums mobile app
Engine ni moja 2AZ,kwa hiyo performance ni moja, mengine ni comfortability, space, infotainment, shocks, handling etc ndo yanaweza tofautiana, na la kuzingatia zaidi hapo ni resell value
 
Harrier ya (2003 - 2007) ni 2.4 (2AZ),Rav ya 2000- 2004ni 1.8 na 2.0 (1ZZ na 1AZ), Rav 4 ya 2005-2009 ni 2AZ (2.4)-same engine na ya harrier(performance ni moja)
 
Zote gari mbaya tu..chukua kluger
Hahahahahah sawasawa mkuu NISSAN KLUGER NI LUXURY NA UKIZINGATIA HIO NI NDOA[emoji2] YA KUDUMU.
NI SIX HIO KILA UNAPOIVUTA NA INAVOPOKEA UTAIPENDA ILA MANYWAJI SASA[emoji2] LABDA UWE NA UKOO NA BP au TOTAL[emoji2]

Sent from Calculator Phone vesion007
 
Engine ni moja 2AZ,kwa hiyo performance ni moja, mengine ni comfortability, space, infotainment, shocks, handling etc ndo yanaweza tofautiana, na la kuzingatia zaidi hapo ni resell value
Hapana Mkuu zipo tofauti ukikuta Harrier piston 4 hio ni 2AZ sambamba na engine ya Rav4..
Hapo hapo kuna HARRIER piston 6 hio ni machine kubwa
Lkn hakuna rav4 piston 6...
Ndio maana nikamwambia huyu mkuu alioleta mada hii gari kama harrier ikiwa ni 4 cylinder hio ndio mashine
Na hata bei ya harrier ambayo ni 4 na 6
Zinapishana kwa 50%

Sent from Calculator Phone vesion007
 
Engine ni moja 2AZ,kwa hiyo performance ni moja, mengine ni comfortability, space, infotainment, shocks, handling etc ndo yanaweza tofautiana, na la kuzingatia zaidi hapo ni resell value
Performance ya six na four zipo tofauti
Wengi wetu wakiona HARRIER wanajua ndio hio hio lkn machine zinatofautiana
Hawa wajapan wajanja saana walileta landcruiser hardtop engine ni 1HZ(best engine hio) hapo hapo zikaja CRUISER VX FULL OPTION&LUXURY lkn zote ENGINE 1HZ

Sent from Calculator Phone vesion007
 
Harrier ya (2003 - 2007) ni 2.4 (2AZ),Rav ya 2000- 2004ni 1.8 na 2.0 (1ZZ na 1AZ), Rav 4 ya 2005-2009 ni 2AZ (2.4)-same engine na ya harrier(performance ni moja)
Zipo rav4 za 2.0 (cc 1998) za mwaka 2006 na kuendelea nyingi tu haswa model za uingereza
 
Harrier ya (2003 - 2007) ni 2.4 (2AZ),Rav ya 2000- 2004ni 1.8 na 2.0 (1ZZ na 1AZ), Rav 4 ya 2005-2009 ni 2AZ (2.4)-same engine na ya harrier(performance ni moja)
Yeah,huu ndiyo ukweli wa Specs na ndiyo jambo la msingi
 
Hahahahahah sawasawa mkuu NISSAN KLUGER NI LUXURY NA UKIZINGATIA HIO NI NDOA[emoji2] YA KUDUMU.
NI SIX HIO KILA UNAPOIVUTA NA INAVOPOKEA UTAIPENDA ILA MANYWAJI SASA[emoji2] LABDA UWE NA UKOO NA BP au TOTAL[emoji2]

Sent from Calculator Phone vesion007
NISSAN KLUGER??? Au TOYOTA KLUGER! hizi pia zipo zenye engine ya 2AZ VVTI unywaji ni sawa na harrier zenye engine ya 2AZ (2.4cc) VVTI

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahahahah sawasawa mkuu NISSAN KLUGER NI LUXURY NA UKIZINGATIA HIO NI NDOA[emoji2] YA KUDUMU.
NI SIX HIO KILA UNAPOIVUTA NA INAVOPOKEA UTAIPENDA ILA MANYWAJI SASA[emoji2] LABDA UWE NA UKOO NA BP au TOTAL[emoji2]

Sent from Calculator Phone vesion007
No zipo 4 cylinder mbona, ukiotea la vvt-i unakula maisha!
 
Back
Top Bottom