kazikwelikweli
Member
- Nov 11, 2010
- 76
- 54
Harrier ni nzuri, no gari pana ndani ina nafasi ya kutosha. Rav 4 imebana sana mtu mwenye miguu mirefu hawi comfortable sana. Lakini Harrier zipo za CC 1160 tafuta hizo ndio nzuri na ziko nyingi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Harrier ni nzuri, no gari pana ndani ina nafasi ya kutosha. Rav 4 imebana sana mtu mwenye miguu mirefu hawi comfortable sana. Lakini Harrier zipo za CC 1160 tafuta hizo ndio nzuri na ziko nyingi.
Sent using Jamii Forums mobile app[/QU
acha uongo,harrier ipi ya hzo cc za kirikuu
Engine ni moja 2AZ,kwa hiyo performance ni moja, mengine ni comfortability, space, infotainment, shocks, handling etc ndo yanaweza tofautiana, na la kuzingatia zaidi hapo ni resell valueHabarini wakuu,ipi kati ya gari tajwa ni nzuri kwa mazingira yetu ya tanzania.Gari zote zikiwa ni used toka Japani,wataalamu naombeni ushauri.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahahah sawasawa mkuu NISSAN KLUGER NI LUXURY NA UKIZINGATIA HIO NI NDOA[emoji2] YA KUDUMU.Zote gari mbaya tu..chukua kluger
Hapana Mkuu zipo tofauti ukikuta Harrier piston 4 hio ni 2AZ sambamba na engine ya Rav4..Engine ni moja 2AZ,kwa hiyo performance ni moja, mengine ni comfortability, space, infotainment, shocks, handling etc ndo yanaweza tofautiana, na la kuzingatia zaidi hapo ni resell value
Performance ya six na four zipo tofautiEngine ni moja 2AZ,kwa hiyo performance ni moja, mengine ni comfortability, space, infotainment, shocks, handling etc ndo yanaweza tofautiana, na la kuzingatia zaidi hapo ni resell value
Zipo rav4 za 2.0 (cc 1998) za mwaka 2006 na kuendelea nyingi tu haswa model za uingerezaHarrier ya (2003 - 2007) ni 2.4 (2AZ),Rav ya 2000- 2004ni 1.8 na 2.0 (1ZZ na 1AZ), Rav 4 ya 2005-2009 ni 2AZ (2.4)-same engine na ya harrier(performance ni moja)
Yeah,huu ndiyo ukweli wa Specs na ndiyo jambo la msingiHarrier ya (2003 - 2007) ni 2.4 (2AZ),Rav ya 2000- 2004ni 1.8 na 2.0 (1ZZ na 1AZ), Rav 4 ya 2005-2009 ni 2AZ (2.4)-same engine na ya harrier(performance ni moja)
NISSAN KLUGER??? Au TOYOTA KLUGER! hizi pia zipo zenye engine ya 2AZ VVTI unywaji ni sawa na harrier zenye engine ya 2AZ (2.4cc) VVTIHahahahahah sawasawa mkuu NISSAN KLUGER NI LUXURY NA UKIZINGATIA HIO NI NDOA[emoji2] YA KUDUMU.
NI SIX HIO KILA UNAPOIVUTA NA INAVOPOKEA UTAIPENDA ILA MANYWAJI SASA[emoji2] LABDA UWE NA UKOO NA BP au TOTAL[emoji2]
Sent from Calculator Phone vesion007
No zipo 4 cylinder mbona, ukiotea la vvt-i unakula maisha!Hahahahahah sawasawa mkuu NISSAN KLUGER NI LUXURY NA UKIZINGATIA HIO NI NDOA[emoji2] YA KUDUMU.
NI SIX HIO KILA UNAPOIVUTA NA INAVOPOKEA UTAIPENDA ILA MANYWAJI SASA[emoji2] LABDA UWE NA UKOO NA BP au TOTAL[emoji2]
Sent from Calculator Phone vesion007
Hapana mkuu utoafuti wa cc600 hauwezi ukawa wa piston mbili
Cha msingi na uhakika fungua tu bonet iangalie mwenyewe machine kama ni 4 au Lay
Au muulize hata huyo mmiliki wa gari
Sent from Calculator Phone vesion007