Succeed inakula kiwese balaaa.Toyota probox at least ina muonekano kidogo japo inafanana sana na hiyo succeed, ila kwa ubahilli wa mafuta na mengineyo Toyota succeed inakufaa zaidi
Ilikuwa kimeo succeed ndo nzuriSucceed inakula kiwese balaaa.
Wakati alikuwa ameiagiza Dubai??!!!.
Wakati alikuwa ameiagiza Dubai??!!!.
Duh!!!sawa mkuu.Kuagiza gari nje haina maana itakuwa nzima. Nimeshahudia case kadhaa za watu kuagiza gari nje na zikawa zinakunywa mafuta...
Hapo ndio huwa naona watu hawafahamu magari kabisaa.Mkuu we ndo umepatia,mtu anauliza tofauti ya gari hiyo hiyo yenye badge tofauti duhni gari hiyo hiyo mbona.
1.Ukubwa wa engineNimefikia maamuzi ya kuanza bajeti ya kununua gari aina kati ya aina hizo mbili kwa kwenda kutumia kibinafsi, kibiashara na kiusafirisha binadamu.
Naomba kujuzwa kati ya hayo mawili lipo ni bora zaid sambamba na mapungufu ya gari hizo sambaba na bei zake yard na kwa kuagiza.
Natangulza shukrani katika maoni yenu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Probox inakula wese kidogo kuliko succeedToyota probox at least ina muonekano kidogo japo inafanana sana na hiyo succeed, ila kwa ubahilli wa mafuta na mengineyo Toyota succeed inakufaa zaidi
Hapana succeed ndo inakula wese kuliko probox
Utofauti.mwingine upo.kwenye taa za nyuma1.Ukubwa wa engine
Probox 1.3l,1.4l na 1.5l ( hii ya 1.5 kuna ambazo zina 4wd na 2wd) hizo za 1.3 na 1.4 ni 2wd
Succeed 1.4l na 1.5l (inaweza kuwa 2wd au 4wd)
1.4l inatumia diesel...
Ubarikiwe mkuu.1.Ukubwa wa engine
Probox 1.3l,1.4l na 1.5l ( hii ya 1.5 kuna ambazo zina 4wd na 2wd) hizo za 1.3 na 1.4 ni 2wd
Succeed 1.4l na 1.5l (inaweza kuwa 2wd au 4wd)
1.4l inatumia diesel
1.3l & 1.5l zinatumia petrol
2. Fuel consumption
Probox inakwenda hadi 18km/l..
Fafanua mkuu.Utofauti.mwingine upo.kwenye taa za nyuma