Toyota Succeed vs Toyata Probox

Toyota Succeed vs Toyata Probox

faruJoh

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2019
Posts
211
Reaction score
160
Nimefikia maamuzi ya kuanza bajeti ya kununua gari aina kati ya aina hizo mbili kwa kwenda kutumia kibinafsi, kibiashara na kiusafirisha binadamu.

Naomba kujuzwa kati ya hayo mawili lipo ni bora zaid sambamba na mapungufu ya gari hizo sambaba na bei zake yard na kwa kuagiza.

Natangulza shukrani katika maoni yenu.

1601459548346.png

Toyota Succeed

1601459665760.png

Toyata Probox

Kuna jamaa alinunua hiyo Succeed ikawa inalamba mafuta balaa ikabidi aipige semi.Lkn Probox naona hazilambi sana mafuta km Succeed.
 
Nashukuru kwa kuchangia.

Endelea kunpa mawazo wakuu
 
ni gari hiyo hiyo mbona.
Hapo ndio huwa naona watu hawafahamu magari kabisaa.Mkuu we ndo umepatia,mtu anauliza tofauti ya gari hiyo hiyo yenye badge tofauti duh
 
  • Thanks
Reactions: Cyb
Nimefikia maamuzi ya kuanza bajeti ya kununua gari aina kati ya aina hizo mbili kwa kwenda kutumia kibinafsi, kibiashara na kiusafirisha binadamu.

Naomba kujuzwa kati ya hayo mawili lipo ni bora zaid sambamba na mapungufu ya gari hizo sambaba na bei zake yard na kwa kuagiza.

Natangulza shukrani katika maoni yenu.

Sent using Jamii Forums mobile app
1.Ukubwa wa engine
Probox 1.3l,1.4l na 1.5l ( hii ya 1.5 kuna ambazo zina 4wd na 2wd) hizo za 1.3 na 1.4 ni 2wd
Succeed 1.4l na 1.5l (inaweza kuwa 2wd au 4wd)
1.4l inatumia diesel
1.3l & 1.5l zinatumia petrol

2. Fuel consumption
Probox inakwenda hadi 18km/l
Succeed inakwenda hadi 15km/l

3. Uzito wa gari
Probox 1000kg
Succeed 1140kg

4.Urefu wa gari kutoka mbele had nyuma
Probox 4,195 mm
Succeed 4,300 mm

5. Upana wa gari
Probox 1,695 mm
Succeed 1,690 mm mpaka 1695 mm

6. Comfortability
Succeed iko more comfortable than probox
 
Toyota probox at least ina muonekano kidogo japo inafanana sana na hiyo succeed, ila kwa ubahilli wa mafuta na mengineyo Toyota succeed inakufaa zaidi
Probox inakula wese kidogo kuliko succeed
 
1.Ukubwa wa engine
Probox 1.3l,1.4l na 1.5l ( hii ya 1.5 kuna ambazo zina 4wd na 2wd) hizo za 1.3 na 1.4 ni 2wd
Succeed 1.4l na 1.5l (inaweza kuwa 2wd au 4wd)
1.4l inatumia diesel...
Utofauti.mwingine upo.kwenye taa za nyuma
 
1.Ukubwa wa engine
Probox 1.3l,1.4l na 1.5l ( hii ya 1.5 kuna ambazo zina 4wd na 2wd) hizo za 1.3 na 1.4 ni 2wd
Succeed 1.4l na 1.5l (inaweza kuwa 2wd au 4wd)
1.4l inatumia diesel
1.3l & 1.5l zinatumia petrol

2. Fuel consumption
Probox inakwenda hadi 18km/l..
Ubarikiwe mkuu.
 
Back
Top Bottom