KANYEGELO
JF-Expert Member
- Nov 12, 2019
- 2,238
- 4,885
Leo naufunga uzi wako kwamajibu yangu konki kbs
TOYOTA PROBOX
Toyotaprobox mi gari siyovutia sana japo maajabu yake mpk kongo zinatumika ukweli ni kuwa kutokana na umbo lake lilivyokuwa limekaa kikauzu sana brobox ni muunganika wa maneno mawili ya kingereza kwetu sisi wana chato tunaweza kusema pro ikiwa inamanisha profesionall na box kwa hiyo walipounganisha ikwa na maana ya probox maana yake box for profesional kama jina lilivyo linasadifu jina la gari na yaliyomo
Gari hii inakuja na
[emoji91]umbo la gari ni Station Wagon
[emoji91]Extras: CD Player
[emoji91]Safety Features: ABS, SRS Airbags
[emoji91]Exterior Features: Alloy Rims(optional)
[emoji91]Interior Features: Air Condition, Radio
[emoji3533][emoji3533]Jina jingine gari hii inaitwa mazda family van katika soko la singapore hili ndio jina maarufu inaitwa hivyo ,ni gari ambayo ipo katika kundi la magari madogo ..,gari hili limepata umaarufu sana africa hasa kenya na uganda kutokana na kuonyesha uhimilivu box for profesional gari hili linakuja na injini yeny cc 1300
Injini yenye cc 1500
[emoji3533]Ndani likiwa na siti za kubeba watu 4 had watano ..na uwazi mkubwa kwa nyuma kwa wenzetu kenya hasa maeneo ya keacha ,komotobo nishafika huko lina beba watu 15 wanapangwa ndani fresh kbs huku kwa nyuma wakiwa wameweka tuvigoda
[emoji3533]Upande wa ndani aise dash board yake haina kulemba ni ya kikauzu sana , hakuna redio wala cha tv , upande wa milango ni manul kupandisha vioo ni kwa kuzungusha kwa mkono kama madolini za mwingereza ..gari hili lipo ki profesional zaid kikazi zaidi
[emoji3534]*Engine hizo 1.3L 2Nz -FeI4 injini hii inatumia petrol
[emoji3534]*Engine 1.5L. 1NZFE I4 hii pia ikitumia. .. petrol
[emoji3534]*Engine 1.4L IND TV D4D I4 injini hii ikiwa inatumia disel
Transmition ya gari hii ni. 4..speed automatic
5.speed manual
Upande wa transmition nakushauri sana chagua manual ,maana auto matic inachangamoto zake japo ukweli inatunza injini
Uzito wa gari hili ni kg 900
Speed yake ikiwa ni 180
Upande wa ndani wa gari
Cabin Storage
Gari hii kwa ndani inakuja na 4 cup holders, door panel storage , storage spaces karibu na dashboard,na open glovebox na inakuja na tray katika ya seats. Kwa viti vya nyuma sehemiu za kutunzia vitu vidogo vidogo zinapatikana katika door pockets.
Exterior
Toyota Probox ini moja kati ya gari ngumu ambayo inakuja na 13 Inch steel rims, halogen headlamps, na haina no fog lights. Gari hii inakuja na rangi nyeupe au kijivu ndizo rangi nyingi ukiona inarangi tofauti na hizo jua imerudiwa kupuliziwa rangi upande wa mbele na nyuma kuna plastic plastics nyeusi ambayo inatumika kama ngao . Kama jina lake lilivyo linasadifu kazi za gari hii,
Upande wa mafuta
Toyota Probox Fuel Consumption hapa naelezea ya mwaka 2013
[emoji108] Toyota Probox 1.3L Fuel inatumia km 18.0 kwa lita 1
[emoji108] Toyota Probox 1.5L Fuel inatumia km 15.0 kwa lita 1
Tank la gari hili linachukua lita 50
Toyota Probox Acceleration
Hiki kipengele kigumu sana kwa watu wengi wahakielewi kabisa ...jamani hapa huwa namaanisha uwezo wa injini kuwahi kuchanganya mwendo
[emoji673] Toyota Probox 1.3L accelerates inatoka 0-100 km/h kwa 13.0 sec.
[emoji673] Toyota Probox 1.5L accelerates inatoka 0-100 km/h kwa 11.7 sec.
Stability and handling
Kwa gari hiii inakuja na nguvu kubwa ambayo hatukuitegemea kutokana nanumbo lake naninjini inaifanya gari hii kwenda mpk top speed 180 km/h ..na uzuri gari hii hata ikijaza haionyeshi kuzidiwa inakubali kwenda ila inapojaza sana kuna kuwa na kamlio kwenye bodi ya gari ....ila mlio huo ninwa kawaida kwa kuwa ni gari ya biashara kuna wakati inabonyea sana hivyo kuna wakati tairinzinagusa kwenye bodi kwa wajanja gari hii huwa wanaiinua kidogo halafu mambo yanakaa poa
Kwa nini unue gari hiii mimi nakupansababu nzuri
[emoji108]ni gari ya kiuchumi inatumika kwa jili ya kusafirisha abiria
[emoji108]Gharama za matunzo ni ndogo sana
[emoji108]Ina uwezo mkubwa kuhimili mazingira ya pori off road
[emoji108]Inafaaa sana kwa shughulinza ujasiliamali
[emoji108]Lakini pia bei yake ya kuinunua ni ndogo sana
Mwaka 2013 toyota walifanya maboresho machache kwenye body yake na gear box kutokana na malalamiko kadhaa ya wateja wakaja na gari lile lenye mabadiliko machache lkn likiwa na sifa zile zile ambazo na kupewa jina la succed ,mabadiliko hayo ni kwenye taaa, bamba la mbele , urefu wa gari na mfumo wa umeme uliboreshwa kidogo na kufanya kuwa na muonekana wa kuvutia tofauti na mwanzo
GROUND CLEARENCE
Gari hiii kwa kuwa ningari ya biashara ila ina umbo dogo inakuja na ground clearence ya 6.1 inch ....ipo juu ila kama unafikiria kuitumia kwa biashara fanya kuisogeza mpk 6.9 inch usizidishe ukidisha inakuwa rahic kupoteza balance yake tegemea gari kuanguka kifo cha mende muda na siku yoyote na mkeo atabaki mjane sababu yà ubishi wako haya mambo nimeyaona watu wanafanya gereji za uchochoroni bila kuzingatia kama inaweza kuleta shida hawana uelewa na gravity control ,wala centar of gravity uñavyozidi kuinua juu nini kinatokea .....na wabishi mm huwa nawapenda sana maana mpk wajionee kwa macho kama haujawahi kupata ajali nyamaza kabisa niulize mm majuzi tu hapa tena ni succed chali kifo cha mende na sarakasinza kutosha
Changamoto ya gari ya probox
[emoji3541]*Sio gari luxury kwa ndani hata kimuonekano hivyo kukwepwa na wanachato wengi hasa wa dsm huku wa mikoani wakilikimbilia
[emoji3541]*Mfumo wa vioo kupandisha kwa pedol kwa kuzungusha kwa mikono du unafanya watu kuboreka nalo sana hasa masister du na wale wa zee wa totos
*Baadhi ya spare part zake ukikosa dar ,mpk uende kenya au uganda ndio kuna spare nyingi ....nakaziabusiogope spear za toyota zimezagaaa sana ila gear box yake kuipata ikuua ndio mtihani kuipata
* Baada ya muda huwa lina miss behave katika unywaji wa mafuta hasa kuchoka kwa piston ring ,na kulifanya litumie 1l km 8 ....tatizo hili linawatokea wale wenye mkono wa birika
*Auto ugonjwa mkubwa upo kwenye gear box ,likianza visanga aiseee hutaamini kama ndio box for profesional ...mengi yapo gereji wakihangaika na gear box kwa yenye mfumo wa auto ...ila manual wakiwa wana dunda na kuendelea kula vicha
Najua kuna watu wataniuliza inautofauti gani na SUCCED
Kwa haraka naeleza point kiduchu ukiwa mzitonws kuelewa tafuta post ya succed kule mwisho nimeelezea kinaga ubaga
[emoji108]Upande wa spare probox na succed zinaingiliana
[emoji108]Upande wa maumbo succed inaumbo kubwa kuliko probox
[emoji108]Succed inakuja na power window wakati probox inakuja haina ni kuzungusha kama one ten mandolini mzee baba
[emoji108]Succed inakuja na taaa za fog ila probox inakuja na taa za kawaida
[emoji108]Probox inakuja ..na umbo la luxury
Mwisho gari hili unaweza ukanunua jipya kabisa yard kutoka kwa bei ya m12+
Lakini used unaweza kulipata kwa bei ya sh M6-9 inategemea na utakavyoenda kwa huyo dalali ila kuwa makini sana kuna watu wametapeliwa