gari aina ya toyota surf 1kz lina hali nzuri linauzwa.kama kuna mtu anahitaji aseme na apendekeze bei.(ieleweke engine yake sio zile za mchemsho).linatembea na lipo fit angle zote.linauzwa si kwa ubovu bali mwenye nalo amenunua gari jingine convinient kwa shughuli zake.