Toyota surf inauzwa-1kz engine,1996

Toyota surf inauzwa-1kz engine,1996

Kimeo

Member
Joined
May 19, 2009
Posts
77
Reaction score
13
gari aina ya toyota surf 1kz lina hali nzuri linauzwa.kama kuna mtu anahitaji aseme na apendekeze bei.(ieleweke engine yake sio zile za mchemsho).linatembea na lipo fit angle zote.linauzwa si kwa ubovu bali mwenye nalo amenunua gari jingine convinient kwa shughuli zake.
 
Picha, bei na imetembea kiasi gani ni muhimu sana!! Mwenyewe lazima atakua anajua ni kiasi gani anataka aliuze gari lake.
 
Back
Top Bottom