Thelionden
Senior Member
- Apr 7, 2018
- 165
- 160
Wakuu habarini za kazi katika pitapita yangu nimekuwa nikikutana sana na hizi gari( Toyota swift) na kwa kweli kwa hali ya maisha iliyo ya kibabe nami nimevutiwa sana kuwa na haka ka mnyama. Nina omba kujua ubora wa hizi gari kwenye safari ndefu kama dar - mwanza ukilinganisha na Toyota cami na terios kid.
Natanguliza shukrani.
Natanguliza shukrani.