Toyota terios daihatsu for sale

Toyota terios daihatsu for sale

drphone

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2009
Posts
3,542
Reaction score
290
Make: Daihatsu
model: Terios
colour: Dark red mica
body type: Station wagon
yamwaka 1996

bei maelewano ipo kwenye hali nzuri kwa mawasiliano 0715 290116
 
Au ndiyo Toyota Cami?
Nijuavyo mimi Toyota wallikuwa hawajaitongoza Daihatsu mwaka 96! hivyo gari ya mwaka huo sioni kama ina mahusiano na Toyota! Labda wataalamu watujuze zaidi.
 
Vipi uimara wa hizi gari. Nadhani nipo interested na gari ndogo ya kutembelea. Would this be a good choice? Hebu nipeni data wataalamu wa magari. Maana kuna watu walinambia Daihatsu huwa ina shida ya spea.
 
simkatishi muuzaji tamaa lakini kitu inaitwa Daihatsu naipa heshima......unaweza ukaambiwa spea zinaingiliana na Cami then ukaingia mkenge....mbona utajuta kuzaliwa....otherwise Nairobi utakuwa unaitembelea mara kwa mara.......TOYOTA is the best na spea ni nyingi
 
Make: Daihatsu
model: Terios
colour: Dark red mica
body type: Station wagon
yamwaka 1996

bei maelewano ipo kwenye hali nzuri kwa mawasiliano 0715 290116

Daihatsu na Toyota ni kampuni mbili tofauti.....ila kuna Daihatsu Terios na Toyota Cami.....zinafanana sana kwa nje.....sijui function zake zikoje
 
Nilisoma once kwenye web kwamba kuna specific model ya Terios waliingia mkataba na Toyota kuzalisha ndiyo ikapatikana ile Toyota Cami.

Otherwise nyengine zote ni tafauti.
 
hii ni toyota kwani imetengenezwa na toyota motors
 
simkatishi muuzaji tamaa lakini kitu inaitwa Daihatsu naipa heshima......unaweza ukaambiwa spea zinaingiliana na Cami then ukaingia mkenge....mbona utajuta kuzaliwa....otherwise Nairobi utakuwa unaitembelea mara kwa mara.......TOYOTA is the best na spea ni nyingi
Nashukuru sana Preta kwa ushauri wako, ngoja tu nikomae na tradecarview. Hope nitapata toyota nzuri, though nimeona bei zipo juu kwa sasa.
 
Back
Top Bottom