Toyota town cruiser

Ni urban cruiser
 
Wala haifanani kabisa na IST
Hata ukiangalia IST kizazi cha kwanza na cha pili ufanano ni mdogo. Kuna mtu niliwahi kumwambia Urban Cruiser ni IST iliyochangamka, akataka kubisha bila kupekua hata kidogo mtandaoni. Angalia Toyota Rush kizazi cha pili na cha tatu. Angalia Subaru Forester kizazi cha pili na cha tatu. Hazifanani kwa muonekano wa body.
 
Lakini si ziko branded IST? kwa nini hii waite jina lingine?
 
I hope you are joking..

Kwanza engine na body ya Urban Cruiser huwezi hata kdg linganisha na IST.

Engine wametoa kwa suzuki brezza pia body inaonekana durable. Ofcoz sijadrive hio gari lkn hata kwa kuangalia tu huwezi linganisha na hio UBER
Nadhani watu wanachanganya hapa. Urban cruiser ninayoisemea haifanani hzta na IST. Wanaongelea zile za Ulaya ambazo ndizo zina mfanano na IST new model
 
Nadhani watu wanachanganya hapa. Urban cruiser ninayoisemea haifanani hzta na IST. Wanaongelea zile za Ulaya ambazo ndizo zina mfanano na IST new model
Ndo hvo, kwa mfananisho huo wanaotoa hata fortuner utaiita hilux
 
Habari wa ndugu. Naulizia yard ambayo naweza kupata gari aina ya Totota Town Cruiser. Najua Toyota wanazo ila wanauza mpya na bei zao siziwezi.

Nawasilisha
Babu hii ni jina lingine la Toyota IST unamanisha hazipatikani show room bongo ama raia hawana wakuuzie Zipo kibao hizo
 
Babu hii ni jina lingine la Toyota IST unamanisha hazipatikani show room bongo ama raia hawana wakuuzie Zipo kibao hizo
Hazifanani na IST, muundo wake uko kama vitara impressa , na wahindi wamekopi kutoka hiyo make.
 
Babu hii ni jina lingine la Toyota IST unamanisha hazipatikani show room bongo ama raia hawana wakuuzie Zipo kibao hizo
Msichukulie gari kufanana vitu vichache mkabadili majina.

Basi prado KDJ nayo tuiite hilux sababu ina 1KD engine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…