Teslarati
JF-Expert Member
- Nov 21, 2019
- 2,621
- 10,466
Ofcoz nimeonaNamshangaa anabisha bila hata kutafiti kidogo.
Japo kusema directly ni IST sio sawa sababu hio model aloweka jamaa hapo ina major changes nyingi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ofcoz nimeonaNamshangaa anabisha bila hata kutafiti kidogo.
OkOfcoz nimeona
Kwa Europe hata ile IST yetu maarufu kule ndio Urban Cruiser.Ofcoz nimeona
Japo kusema directly ni IST sio sawa sababu hio model aloweka jamaa hapo ina major changes nyingi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].. Wabongo na ujuaji sasa laleqUrban cruiser ni muendelezo wa IST second generation, Ila sema hii urban cruiser walichanganya IST na Vitz ndo ikatoka hiyo urban cruiser
Wanauza bei gani na ni capacity ganiHiyo
Nimeona Toyota ni kuanzia 41mInaitwa urban cruiser au kwa Suzuki ni Brezza. Bado ni mpya sana so kuzipata used ni kipengele
cc 1500, Toyota wameniambia inaanzia 41mWanauza bei gani na ni capacity gani
Ni urban cruiserAndaa pocket tu hata used hutokuja kupata kwa bei ya chini sababu hii model imekuwa discontinued lkn wadau wanaipenda na ndo maana price yake itaendelea kushikilia mulemule, chukulia mfano Toyota FJ Cruiser bado bei zao zimesimama coz toyota ilisimamisha kutengeneza lkn bado zikawa zinapendwa, japo kuna tetesi wataendelea kutengeneza kwa US market
Af ukisema town cruiser wengi hawatakuelewa, sema Urban Cruiser
Wala haifanani kabisa na IST[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].. Wabongo na ujuaji sasa laleq
Hahahahah hawalitambui kuwa ndio mrithi wa IST 😀😀😀Kwahio hamjui kuwa Toyota Urban Cruiser ndio IST?
Ndio mrithi wa ISTWala haifanani kabisa na IST
Kwani kizazi cha RAV4 zote zinafana, mbona tunakubali kuwa ni mwendelezo wa rav4.Wala haifanani kabisa na IST
Hata ukiangalia IST kizazi cha kwanza na cha pili ufanano ni mdogo. Kuna mtu niliwahi kumwambia Urban Cruiser ni IST iliyochangamka, akataka kubisha bila kupekua hata kidogo mtandaoni. Angalia Toyota Rush kizazi cha pili na cha tatu. Angalia Subaru Forester kizazi cha pili na cha tatu. Hazifanani kwa muonekano wa body.Wala haifanani kabisa na IST
Lakini si zimeandikwa RV 4. Kwa nini isingeandikwa IST .....Kwani kizazi cha RAV4 zote zinafana, mbona tunakubali kuwa ni mwendelezo wa rav4.
Lakini si ziko branded IST? kwa nini hii waite jina lingine?Hata ukiangalia IST kizazi cha kwanza na cha pili ufanano ni mdogo. Kuna mtu niliwahi kumwambia Urban Cruiser ni IST iliyochangamka, akataka kubisha bila kupekua hata kidogo mtandaoni. Angalia Toyota Rush kizazi cha pili na cha tatu. Angalia Subaru Forester kizazi cha pili na cha tatu. Hazifanani kwa muonekano wa body.
Nadhani watu wanachanganya hapa. Urban cruiser ninayoisemea haifanani hzta na IST. Wanaongelea zile za Ulaya ambazo ndizo zina mfanano na IST new modelI hope you are joking..
Kwanza engine na body ya Urban Cruiser huwezi hata kdg linganisha na IST.
Engine wametoa kwa suzuki brezza pia body inaonekana durable. Ofcoz sijadrive hio gari lkn hata kwa kuangalia tu huwezi linganisha na hio UBER
Ndo hvo, kwa mfananisho huo wanaotoa hata fortuner utaiita hiluxNadhani watu wanachanganya hapa. Urban cruiser ninayoisemea haifanani hzta na IST. Wanaongelea zile za Ulaya ambazo ndizo zina mfanano na IST new model
Babu hii ni jina lingine la Toyota IST unamanisha hazipatikani show room bongo ama raia hawana wakuuzie Zipo kibao hizoHabari wa ndugu. Naulizia yard ambayo naweza kupata gari aina ya Totota Town Cruiser. Najua Toyota wanazo ila wanauza mpya na bei zao siziwezi.
Nawasilisha
Hazifanani na IST, muundo wake uko kama vitara impressa , na wahindi wamekopi kutoka hiyo make.Babu hii ni jina lingine la Toyota IST unamanisha hazipatikani show room bongo ama raia hawana wakuuzie Zipo kibao hizo
Msichukulie gari kufanana vitu vichache mkabadili majina.Babu hii ni jina lingine la Toyota IST unamanisha hazipatikani show room bongo ama raia hawana wakuuzie Zipo kibao hizo