Ebana hizi gari nimeanza kuziona ona mtaani. Ni gari ile ile imetolewa kwa both Suzuki na Toyota.
Nimeielewa sana hii gari, nataka nijipange niiagize, ila changamoto ni moja, siioni kwenye hizi tovuti zetu pendwa za Befoward, TCV etc.
Hivi kuna uwezekano wa kuagiza used from India au South Africa? Maana kule zipo kitambo so used zitakuwepo.