Toyota urban cruiser (Suzuki Vitara Brezza)

Toyota urban cruiser (Suzuki Vitara Brezza)

ndugufred

Senior Member
Joined
Dec 30, 2011
Posts
137
Reaction score
44
Ebana hizi gari nimeanza kuziona ona mtaani. Ni gari ile ile imetolewa kwa both Suzuki na Toyota.

Nimeielewa sana hii gari, nataka nijipange niiagize, ila changamoto ni moja, siioni kwenye hizi tovuti zetu pendwa za Befoward, TCV etc.

Hivi kuna uwezekano wa kuagiza used from India au South Africa? Maana kule zipo kitambo so used zitakuwepo.
 
Ebana hizi gari nimeanza kuziona ona mtaani. Ni gari ile ile imetolewa kwa both Suzuki na Toyota.
Nimeielewa sana hii gari,nataka nijipange niiagize,ila changamoto ni moja,siioni kwenye hizi tovuti zetu pendwa. Befoward,TCV etc.
Hivi kuna uwezekano wa kuagiza used from India au South Africa?Maana kule zipo kitambo so used zitakuwepo
Weka picha ndugu
 
Hiyo hapo
Urban-Cruiser-301b-4.jpg
 
huwez kuiona mtaani au mitandao ya used, maana bado ni toleo jipya
 
Huwa napishana nayo mitaa ya mikocheni palm village

1 piece in town.Gari kali sana wengne wanasema ni IST new model

Ziko nyingi tu sasa hivi, utaona Suzuki Brezza au Toyota Urban Cruiser
 
Zmeongezeka sana kuna moja nmeipita sasahivi pale MDH mikocheni imepaki pamoja na Ford ecosport
 
Back
Top Bottom