Weka picha nduguEbana hizi gari nimeanza kuziona ona mtaani. Ni gari ile ile imetolewa kwa both Suzuki na Toyota.
Nimeielewa sana hii gari,nataka nijipange niiagize,ila changamoto ni moja,siioni kwenye hizi tovuti zetu pendwa. Befoward,TCV etc.
Hivi kuna uwezekano wa kuagiza used from India au South Africa?Maana kule zipo kitambo so used zitakuwepo
Hiyo hapo
SuzukiWeka picha ndugu
Hiyo hapo View attachment 2451735
Huwa napishana nayo mitaa ya mikocheni palm village
1 piece in town.Gari kali sana wengne wanasema ni IST new model