Car4Sale Toyota Vitz namba BV cc 990, kwa milioni 3

Car4Sale Toyota Vitz namba BV cc 990, kwa milioni 3

Bado ipo. Ukihitaji gari ya bei poa, usisite kunitafuta

Hela ya udalali ni laki 1.
 
Gari iko njema kwa kweli! Vipi kuhusu ulaji wake wa mafuta na vipengele vingine?
Dah! Hiyo gari inakula mafuta kama jini! Yaani ukimiliki gari ya aina hii, inakulazimu uwe na Shell pembeni! 😁😁😁

Pale wadau wa Vits, IST, Passo, Starlet,Suzuki KEI, nk. wanapo zichambua Mark x, Toyota Brevis, Crown, Progress, nk. Kisa tu zina CC kuanzia 2000 na kuendelea!
 
Bado ipo. Ukihitaji gari ya bei poa, usisite kunitafuta

Hela ya udalali ni laki 1.
Dah! Madalali wote wangekuwa na moyo mzuri kama wewe, hakika wangeiona pepo. Yaani udalali laki 1 tu! 🤔

Hongera sana, na uendelee kuwa na moyo huo huo. Riziki kidogo inatosha. Muhimu mkono uende kinywani.
 
Back
Top Bottom