Billie
JF-Expert Member
- Aug 13, 2011
- 13,588
- 22,752
Google itI need to know everything about this car
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Google itI need to know everything about this car
Mimi nimeona moja imefungwa rim size 17 daah ipo powaVits gari nzuri sana kwanza ni economy sana katika mafuta pili ni gari ambayo kimtazamo ni ndogo sana lakin ndani inakijinafasi kizuri tu na hata maintanace yakd si garama kubwa vilevile haina shida ya parking miji mikubwa kokote unaichomeka tu na kama una vits ipige rim sports size 14 inyanyue kidogo kwa nyuma weka spesor za nchi moja au moja kasoro mbele weka nusu inch kikweli inatulia na unaenda kokote ijali katika servise tu gari moja nzuri sana
Check plug au nozzle huenda ikawa hizoNina Vitz yangu 990 cc ikiwa inatembea nikiwasha ac gari inakosa nguvu na ikifika kwenye kilima inazimika.Tatizo ni nini?
Nenda ilala kanunue idle valve. Andaa lak hiviNina Vitz yangu 990 cc ikiwa inatembea nikiwasha ac gari inakosa nguvu na ikifika kwenye kilima inazimika.Tatizo ni nini?
Si uipeleke kwa fundiNa mimi naomba msaada nina vitz cc990 inashida ya kusinzia mara ninapoanza kupanda kilima halafu inakurupua kwa nguvu kama bleki huna unawezahama njia, tatizo
Nguvu hakana hako. CC 990 lazima kalete hiyo hali ya degedege.Na mimi naomba msaada nina vitz cc990 inashida ya kusinzia mara ninapoanza kupanda kilima halafu inakurupua kwa nguvu kama bleki huna unawezahama njia, tatizo
Hapo kuna vitu viwili vya kucheki, cha kwanza ni gear box yaani kwenye kilima inatakiwa ipande na gear kubwa yaani kutoka moja kwenda mbili sasa hapo kunakuwa na delayment ndio maana inapoingia ya pili kwenda ya tatu gari inastuka na inakuwa na power zaidi, cha pili cheki control box upande wa gear box huwa zinasumbuaga sana hasa injini za 1sz.Na mimi naomba msaada nina vitz cc990 inashida ya kusinzia mara ninapoanza kupanda kilima halafu inakurupua kwa nguvu kama bleki huna unawezahama njia, tatizo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nguvu hakana hako. CC 990 lazima kalete hiyo hali ya degedege.