Toyota vitz Rs

Mimi nimeona moja imefungwa rim size 17 daah ipo powa
 
Nina Vitz yangu 990 cc ikiwa inatembea nikiwasha ac gari inakosa nguvu na ikifika kwenye kilima inazimika.Tatizo ni nini?
 
Na mimi naomba msaada nina vitz cc990 inashida ya kusinzia mara ninapoanza kupanda kilima halafu inakurupua kwa nguvu kama bleki huna unawezahama njia, tatizo
 
Na mimi naomba msaada nina vitz cc990 inashida ya kusinzia mara ninapoanza kupanda kilima halafu inakurupua kwa nguvu kama bleki huna unawezahama njia, tatizo
Hapo kuna vitu viwili vya kucheki, cha kwanza ni gear box yaani kwenye kilima inatakiwa ipande na gear kubwa yaani kutoka moja kwenda mbili sasa hapo kunakuwa na delayment ndio maana inapoingia ya pili kwenda ya tatu gari inastuka na inakuwa na power zaidi, cha pili cheki control box upande wa gear box huwa zinasumbuaga sana hasa injini za 1sz.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…