Habari wanajamvi,
Nimejichangachanga nimepata 12M, je naweza kuagiza gari tajwa hapo juu kutoka Japan.
Pia, ukiacha makampuni ya Beforward na Tradecarview, nani wengine wenye huduma nzuri na makini.
NYONGEZA
Mwenye ujuzi au taarifa yoyote kuhusu hii gari asisite kutupia neno.
NAWASILISHA
Karibuni sana kwa michango ya kimawazo.