TOYOTA VOLTZ (2002 _ 2004)

TOYOTA VOLTZ (2002 _ 2004)

KUCH KUCH

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2015
Posts
1,327
Reaction score
966
Habari wanajamvi,
Nimejichangachanga nimepata 12M, je naweza kuagiza gari tajwa hapo juu kutoka Japan.
Pia, ukiacha makampuni ya Beforward na Tradecarview, nani wengine wenye huduma nzuri na makini.
NYONGEZA
Mwenye ujuzi au taarifa yoyote kuhusu hii gari asisite kutupia neno.
NAWASILISHA
Karibuni sana kwa michango ya kimawazo.
 
Hongera sana mkuu. Hiki chuma nakikubali sana, nimepanga kukivuta mwezi wa 11 mwaka huu.

Back to the topic:
Mil 12 huwezi kupata from japan, labda mkononi.
Ukitaka kuagiza from Japan andaa mil 15.
 
Hongera sana mkuu. Hiki chuma nakikubali sana, nimepanga kukivuta mwezi wa 11 mwaka huu.

Back to the topic:
Mil 12 huwezi kupata from japan, labda mkononi.
Ukitaka kuagiza from Japan andaa mil 15.

Asante sn mkuu.
Ngoja nijitutumue
 
Back
Top Bottom