Toyota Voltz inahitajika

Toyota Voltz inahitajika

Inahitajika gari Toyota Voltz iliyopo kwenye hari nzuri.

Tuma picha na bei unayouzia
mbona zipo nyingi tu hizo.
FB_IMG_16815815356759265.jpg
 
Agent apo dar ata kucheki
Agent wako kiboko, hatahajui gari anauza bei gani. Hata picha za gari anayouza atakua hana maana nimemuuliza gari yako unauza na shingapi na nitume picha toka jana amekimbia hajajibu text yangu[emoji1][emoji1][emoji1]
 
Back
Top Bottom