Toyota Voltz inahitajika

Toyota Voltz inahitajika

Agent wako kiboko, hatahajui gari anauza bei gani. Hata picha za gari anayouza atakua hana maana nimemuuliza gari yako unauza na shingapi na nitume picha toka jana amekimbia hajajibu text yangu[emoji1][emoji1][emoji1]
voltz zimekuwa za shidah kidogo tunalishugulikia utapata
 
Back
Top Bottom