Ndio mkuu, General Motors ya USA na Toyota ya Japan walitengeneza hizi hatchbacks 10,000 tu mwaka 2002 hadi 2004, ikawa replaced na Toyota Auris. Mkuu, kuhusu spare especially body parts ni kweli zinaweza kua tatizo ila kuhusu internal parts/engine parts zinaingiliana na corolla nyingi tu kama Allex,Run X, corolla X etc.
TOYOTA VOLTZ
Voltz kama alivosema mdau ni 4WD car yenye 1.8L 1.8 L
2ZZ-GE I4 or 1.8 L
1ZZ-FE I4 engine zinazo generate 188hp @7600rpm, hivyo ata mkiwa watu 5 kwenye gari inapiga fresh tu ata milimani.
Ndani ni comfortable sana na ina room ya kutosha kwa kukaa watu na mizigo pia.
Faida ya Voltz dhidi ya Isis
- Ina power kubwa 188hp dhidi ya Isis mwenye 155hp. Effect yake huwezi notice katika daily driving experience, ila siku mkiwa mmepanda let's say watu 5 wazima, kwenye muinuko utaona moja inavo-enya.
- Milango ya Voltz ni ya kawaida inafunguka kawaida tu, ila Isis inaslide kama Raum au Noah. Sio kila mtu anapenda hizi.
TOYOTA ISIS
Toyota Isis ni Minivan either FWD au 4WD car yenye engine ya 1.8L 1ZZ-FE I4 au 2.0L 1AZ-FSE I4 zinazogenerate power ya 155 @6000rpm iliotengenezwa tokea mwaka 2004 hadi sasa.
Faida za Isis dhidi ya Voltz
- Ina machaguo either 1.8L au 2.0L engine sio kama Voltz unapata 1.8L tu, pia unaweza chagua either FWD au 4WD wakati Voltz ana 4WD tu (Sio wote wanaogopa engine size kubwa na wala sio wote wanapenda 4WD engines)
- Full tank yake kubwa kidogo, ni 60L wakati Voltz ana 50l tu.
- Ni kubwa kidogo kwa Voltz na inaweza accomodate watu wazima 7, ila Voltz ina accommodate watu 5 tu.
Toyota Isis picha
View attachment 365161 View attachment 365160 View attachment 365159 View attachment 365157
Toyota Voltz Picha
View attachment 365155
View attachment 365156
View attachment 365154