Brain Hacker
Member
- Apr 12, 2016
- 23
- 11
Ractis ni new model ya fun cargo. Zipo za cc 1298, 1500 na nadhani zipo za 1,700. Na zipo za 2WD na 4WD. Ractis na vitz new model zina injini inayofanana. Kama huna familia na mara nyingi gari utakuwa unatumia wewe tu basi chukua la cc 1298. Ila kama una familia chukua la cc 1500. Kama unaendesha lami kwa lami hutokuwa na haja ya kuliinua vinginevyo kama utalitumia kwenye njia za vumbi au njia zenye mashimo basi lazima uliinue. Consumption ya mafuta ni nzuri maana ni gari dogo. Shida kubwa ya gari hili ni taa ya abs ila mafundi wa umeme huwa wanalitatua so usihofu! Waweza endea safari ndefu vilevile! Nashauri ukitaka gari hili nunua kampuni ya trust ambao mtandao wao ni jananesevehicles au autorec kamwe befoward au wengine sikushauri ila hii ni kutokana na uzoefu wangu binafsi nayaamini sana makampuni hayo mawili. Magari yao yana ubora na ni waaminifu sana. Kulihudumia ractis ni rahisi na spare bwerere ni hela yako tu. Maana zinaingilia sana na toyota nyingi. Re sale value yake ni kubwa kwa sasa hata baadae.Habari wakuu,
View attachment 700324
naomba kujua zaid kuhusu hii gari Ractis, matatizo yake na uzuri wake. Nmetokea tu kuipenda kwa kua ina space kubwa ndan.
shukrani.
Mkuu haka ka chombo ni kazuri,kako stable sana barabarani na kanajitahidi sana kuchomoka, mshale kulala ni kugusa tuHabari wakuu,
View attachment 700324
naomba kujua zaid kuhusu hii gari Ractis, matatizo yake na uzuri wake. Nmetokea tu kuipenda kwa kua ina space kubwa ndan.
shukrani.
thanks much mkuuRactis ni new model ya fun cargo. Zipo za cc 1298, 1500 na nadhani zipo za 1,700. Na zipo za 2WD na 4WD. Ractis na vitz new model zina injini inayofanana. Kama huna familia na mara nyingi gari utakuwa unatumia wewe tu basi chukua la cc 1298. Ila kama una familia chukua la cc 1500. Kama unaendesha lami kwa lami hutokuwa na haja ya kuliinua vinginevyo kama utalitumia kwenye njia za vumbi au njia zenye mashimo basi lazima uliinue. Consumption ya mafuta ni nzuri maana ni gari dogo. Shida kubwa ya gari hili ni taa ya abs ila mafundi wa umeme huwa wanalitatua so usihofu! Waweza endea safari ndefu vilevile! Nashauri ukitaka gari hili nunua kampuni ya trust ambao mtandao wao ni jananesevehicles au autorec kamwe befoward au wengine sikushauri ila hii ni kutokana na uzoefu wangu binafsi nayaamini sana makampuni hayo mawili. Magari yao yana ubora na ni waaminifu sana. Kulihudumia ractis ni rahisi na spare bwerere ni hela yako tu. Maana zinaingilia sana na toyota nyingi. Re sale value yake ni kubwa kwa sasa hata baadae.
Haina tatzo mkuu.Habari wakuu,
View attachment 700324
naomba kujua zaid kuhusu hii gari Ractis, matatizo yake na uzuri wake. Nmetokea tu kuipenda kwa kua ina space kubwa ndan.
shukrani.
Yani wewe unakifananisha ki Ractis na Land Cruiser upo serious!??...Haina tatzo mkuu.
Na ina mbio ajabu, huwez kabisa kuamin.
Naiita Ractis V8
Hakuna land cruiser yoyote atakayeweza kukufuata labda kwenye tuta.
Ina twin turbo, kuna sehem unaweka D3 -B-balance. Gari inabalance hatari.
Barabaran wenzake ni gari zenye cc kubwa kuanzia 4500 ndio utasumbuana nao, lakin hawa wakina vitz, brevis, na wa jamii hio watachora chini licha ya wao kuwa na cc kubwa ractis ina cc ndogo lakin hawakugus, ina vitu vya kuchochea speed vingi na ina balance sana. Kaone hivyo hivyo tu na kaache hivyo hivyo tu.
Mkuu uwe mwangalifu unapoamua kufananisha gari (LC) na huto tudude twenu (ractis) twa kuendea sokoni.....Haina tatzo mkuu.
Na ina mbio ajabu, huwez kabisa kuamin.
Naiita Ractis V8
Hakuna land cruiser yoyote atakayeweza kukufuata labda kwenye tuta.
Ina twin turbo, kuna sehem unaweka D3 -B-balance. Gari inabalance hatari.
Barabaran wenzake ni gari zenye cc kubwa kuanzia 4500 ndio utasumbuana nao, lakin hawa wakina vitz, brevis, na wa jamii hio watachora chini licha ya wao kuwa na cc kubwa ractis ina cc ndogo lakin hawakugus, ina vitu vya kuchochea speed vingi na ina balance sana. Kaone hivyo hivyo tu na kaache hivyo hivyo tu.
Aisee wewe ni kiboko yao Pontio Pilatokama shida ni space kwanini usinunue basi
Aisee we jamaa kwa uongo nimekuvulia kofia aisee.Haina tatzo mkuu.
Na ina mbio ajabu, huwez kabisa kuamin.
Naiita Ractis V8
Hakuna land cruiser yoyote atakayeweza kukufuata labda kwenye tuta.
Ina twin turbo, kuna sehem unaweka D3 -B-balance. Gari inabalance hatari.
Barabaran wenzake ni gari zenye cc kubwa kuanzia 4500 ndio utasumbuana nao, lakin hawa wakina vitz, brevis, na wa jamii hio watachora chini licha ya wao kuwa na cc kubwa ractis ina cc ndogo lakin hawakugus, ina vitu vya kuchochea speed vingi na ina balance sana. Kaone hivyo hivyo tu na kaache hivyo hivyo tu.
Space kubwa ndani kwani unataka kuigeuza kabati?Habari wakuu,
View attachment 700324
naomba kujua zaid kuhusu hii gari Ractis, matatizo yake na uzuri wake. Nmetokea tu kuipenda kwa kua ina space kubwa ndan.
shukrani.