Toyota vs ractis

Toyota vs ractis

Brain Hacker

Member
Joined
Apr 12, 2016
Posts
23
Reaction score
11
Habari wakuu,
RACTIS.jpg

naomba kujua zaid kuhusu hii gari Ractis, matatizo yake na uzuri wake. Nmetokea tu kuipenda kwa kua ina space kubwa ndan.

shukrani.
 
Habari wakuu,
View attachment 700324

Ractis ni new model ya fun cargo. Zipo za cc 1298, 1500 na nadhani zipo za 1,700. Na zipo za 2WD na 4WD. Ractis na vitz new model zina injini inayofanana. Kama huna familia na mara nyingi gari utakuwa unatumia wewe tu basi chukua la cc 1298. Ila kama una familia chukua la cc 1500. Kama unaendesha lami kwa lami hutokuwa na haja ya kuliinua vinginevyo kama utalitumia kwenye njia za vumbi au njia zenye mashimo basi lazima uliinue. Consumption ya mafuta ni nzuri maana ni gari dogo. Shida kubwa ya gari hili ni taa ya abs ila mafundi wa umeme huwa wanalitatua so usihofu! Waweza endea safari ndefu vilevile! Nashauri ukitaka gari hili nunua kampuni ya trust ambao mtandao wao ni jananesevehicles au autorec kamwe befoward au wengine sikushauri ila hii ni kutokana na uzoefu wangu binafsi nayaamini sana makampuni hayo mawili. Magari yao yana ubora na ni waaminifu sana. Kulihudumia ractis ni rahisi na spare bwerere ni hela yako tu. Maana zinaingilia sana na toyota nyingi. Re sale value yake ni kubwa kwa sasa hata baadae.
 
thanks much mkuu
 
Ni gari nzuri ila spea zake ziko juu ingawa ni toyota
 
Habari wakuu,
View attachment 700324
naomba kujua zaid kuhusu hii gari Ractis, matatizo yake na uzuri wake. Nmetokea tu kuipenda kwa kua ina space kubwa ndan.

shukrani.
Haina tatzo mkuu.
Na ina mbio ajabu, huwez kabisa kuamin.

Naiita Ractis V8
Hakuna land cruiser yoyote atakayeweza kukufuata labda kwenye tuta.

Ina twin turbo, kuna sehem unaweka D3 -B-balance. Gari inabalance hatari.
Barabaran wenzake ni gari zenye cc kubwa kuanzia 4500 ndio utasumbuana nao, lakin hawa wakina vitz, brevis, na wa jamii hio watachora chini licha ya wao kuwa na cc kubwa ractis ina cc ndogo lakin hawakugus, ina vitu vya kuchochea speed vingi na ina balance sana. Kaone hivyo hivyo tu na kaache hivyo hivyo tu.
 
Yani wewe unakifananisha ki Ractis na Land Cruiser upo serious!??...
Hicho kibaby walker kilinganishe na jamii yake vi Passo, Vitz, Porte, Sienta, Swift etc sio mid range cars kama Mark X, Brevis, Crown, Fuga etc. Watoto(vibaby walker) mkipata ndevu mnakengeuka sasa.
Tutake radhi!..
 
Haina tatzo mkuu.
Na ina mbio ajabu, huwez kabisa kuamin.

Naiita Ractis V8
Hakuna land cruiser yoyote atakayeweza kukufuata labda kwenye tuta.

Ina twin turbo, kuna sehem unaweka D3 -B-balance. Gari inabalance hatari.
Barabaran wenzake ni gari zenye cc kubwa kuanzia 4500 ndio utasumbuana nao, lakin hawa wakina vitz, brevis, na wa jamii hio watachora chini licha ya wao kuwa na cc kubwa ractis ina cc ndogo lakin hawakugus, ina vitu vya kuchochea speed vingi na ina balance sana. Kaone hivyo hivyo tu na kaache hivyo hivyo tu.
Mkuu uwe mwangalifu unapoamua kufananisha gari (LC) na huto tudude twenu (ractis) twa kuendea sokoni.....
 
Haina tatzo mkuu.
Na ina mbio ajabu, huwez kabisa kuamin.

Naiita Ractis V8
Hakuna land cruiser yoyote atakayeweza kukufuata labda kwenye tuta.

Ina twin turbo, kuna sehem unaweka D3 -B-balance. Gari inabalance hatari.
Barabaran wenzake ni gari zenye cc kubwa kuanzia 4500 ndio utasumbuana nao, lakin hawa wakina vitz, brevis, na wa jamii hio watachora chini licha ya wao kuwa na cc kubwa ractis ina cc ndogo lakin hawakugus, ina vitu vya kuchochea speed vingi na ina balance sana. Kaone hivyo hivyo tu na kaache hivyo hivyo tu.
Aisee we jamaa kwa uongo nimekuvulia kofia aisee.
 
Back
Top Bottom