Asee kiingereza kingi halafu ukumbafu mwingi.
Mimi nitakuelezea kwa lugha mama ya Africa(kiswahili).
Tofauti wajibu na nafasi ya kitu ktk kitu.
Ww unaelezea wajibu mm naelezea nafasi ya serikali ktk kutoa ajira.
Serikali ina nafasi yake ktk utoaji ajira zumbukuku wewe.
Hata UK inafaham hilo na inatekeleza hilo ilhali lile ni taifa la ubepari.
Tumia akili.
Duh! Uswahili mwingi na faeces tu in between your ears. In your school's, Do they train you to feign ignorance?I am embarrassed on your behalf
Unemployment ni kubwa kwel..lkn kinachonishangaza ni kwamba...
Kenya population yetu ni ndogo lkn kati idadi ya matajiri na watu wa kipato cha kati tumewazidi...
Sasa jiulize tatizo liko wapi na hyo ajira yenu mnayojisifia...
Je mshahara ni kiduchu!!ama basi serikali inawaongopea...
Bila ya kusahau, vile vile mna maskini wengi kutuliko na hzo ajira zenu..
MBNA KIZUNGUMUKUTI
If you do not have any talents to sell or product to bring to the market then starve, nobody will miss you or your non contributing and leeching self.
Sidhani ni wivu, ni mtaalamu wa viwanda huyo. Kule Bongo kuna viwanda vingi sana. [emoji38]
Here is a good book I know Tanzanians are allergic to books and english, sadly they do not have a kiswahili version
Amazon product ASIN 0451191145
Wanatengeneza haya makubwa kubwa mkuu ambayo sisi wanyonge hatuwezi kununua haya makampuni yangefanya kama south africa ingekua safi sanaIst ntaipata kwa 7milion Tena mpyaa
si ni ww huyo mkuu au?ππ
hongera zake mjasiria mazee...si mchezo, alafu vipi mkuu kale ka mchakato ka udukuzi wa it umekafikisha wapiii? π€£ π€£ πYaani tungeweza ku empower most of youth at this minimum level, I could be more proud. This guy has a chance to grow to another level. Huyu anajitambua. Anahitaji msaada kidogo tu kusonga mbele.
Wapi kuna unafuu wa maisha kati ya Tanzania na Kenya???
Ebu mchukue maskini wa Tanzania halafu mfananishe na Wa Kenya halafu unipe jibu.
Husikii wanachuo wakijinyonga Tanzania kuhofia ugumu wa maisha hata siku moja.
Ila nenda huko Kenya.
Wanaonufaika ni wachache waumiao wengi.
Ebu nipe jibu kwann wananchi wenzenu hujiua kisa ugumu wa maisha ??
hongera zake mjasiria mazee...si mchezo, alafu vipi mkuu kale ka mchakato ka udukuzi wa it umekafikisha wapiii? π€£ π€£ π
Soma hyo post vizuri uelewe kwanza...
Wacha kuruka ruka hapa
Mambo ya IT itakuwa ni yake REDEEMER, Leader wa Praise team.hongera zake mjasiria mazee...si mchezo, alafu vipi mkuu kale ka mchakato ka udukuzi wa it umekafikisha wapiii? π€£ π€£ π
Wapi kuna unafuu wa maisha kati ya Tanzania na Kenya???
Ebu mchukue maskini wa Tanzania halafu mfananishe na Wa Kenya halafu unipe jibu.
Husikii wanachuo wakijinyonga Tanzania kuhofia ugumu wa maisha hata siku moja.
Ila nenda huko Kenya.
Wanaonufaika ni wachache waumiao wengi.
Ebu nipe jibu kwann wananchi wenzenu hujiua kisa ugumu wa maisha ??