Toyota!!,wako nyuma kiasi hicho!,wamezidiwa na koloni lao la zamani,ama kweli mchina kapiga hatua,ongera yake.Toyota, wakongwe kutoka Japan waliokataa kuingia EV miguu yote, wamezindua EV sedan inayoitwa BZ7.
View attachment 3159895
Tukumbuke BZ ni series ya EV kutoka Toyota ambazo amekua akishirikiana (co-develop) na Mchina.
View attachment 3159896
This time, BZ7 ameshirikiana na GAC na kutumia battery za BYD.
View attachment 3159897
Sida zaidi hatujapewa ila kwa size ni kubwa kuliko ata Camry, kwahiyo itakua full size sedan.
Kila lakheri Toyota.
Hizi hydrogen maana yake zitatumia maji?Naoma Toyo anataka aforce Hydrogen engines Sijui zitafanikiwa?
Kashafeli, hawezi kudumu na huo mpango.Naoma Toyo anataka aforce Hydrogen engines Sijui zitafanikiwa?
Vituo vyote vya hydrogen fuel vimefungwa Huko USA baada ya kukosa soko...Sera za marekani ni kuingia moja Kwa moja kwenye EV Tu hapa ndipo shida ilipo na USA ndiyo anaamua soko la technology liende vipi....naomba mchina aendelee kuwanyoosha hivihivi hadi warudi tena kwenye COMBUSTION ENGINENaoma Toyo anataka aforce Hydrogen engines Sijui zitafanikiwa?